Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

Labda Chato.
 
Acha ujinga Magufuli kashazikwa rasmi jana Dodoma.
 
Kwani nani kakwambia wataandamana?

Alafu mimi sio mshabiki wa hivyo vyama vyenu. Mimi nilikuwa natoa uhalisia naouona, so unaweza upuuza vile vile.
Watafanya nini? Kama hujui watakaofanya basi huna hoja
 
Siasa mchezo mchafu, na njia ya kumtoa sisiemu madarakani labda ni kuwauwa tu😅😅 hamna nyingine

Ngoja nipambane nisake mkwanja nimpeleke mama Da Vinci XV makka mie kama ilivyo ndoto yakw😅🙏
 
Kwani kwa akili yako Maccm yaliwahi shinda uchaguzi wowote tangu 2010?
 

Huu uzi wako utakuja kukumbukwa 2025 ngoja tuwasijikize wahuni
 
Watawala wajiepushe na Kumponda Magufuli mana aliyoyafanya hayahitaji Maelezo mengi bali yalionekana Physically sasa Hawa watu huenda wakajikuta kwenye wakati Mgumu sana 2025, Nguvu ya umma sio ya kubeza hata kidogo

Tusubiri wahuni wa mjini akina Nape na Makamba wao kazi yao kubwa ni kuuponda utawala wa Magufuli
 
Aya ya kwanza nimesema namfananisha na Mursi kwa misimamo sio vinginevyo

JPM amefariki kwa tatizo la Mfumo wa moyo alilokuwa nalo kwa zaid ya miaka 10…zingine ni ngonjera tu…hata huku uswahilini kila anaekufa kauawa hakuna anaekufa kifo cha kawaida
Kwa hiyo Magufuli naye aliuawa?
 
Magu alichofanya ni kuwatisha wananchi. Ukimya wao ukatafsiriwa kuwa ni kumpenda.
Aliwanyima taarifa kwa nguvu zake zote, akajipenyeza kwenye vyombo vyote vya habari kasoro jamii forum, ili kuwaongopea wananchi, hata hivyo akagundua kuwa hawamuungi mkono mama alivyo tazamia, hivyo akaamua kunajisi wazi chaguzi za 2019 na 2020 ili aendelee kubakia madarakani, na hata baada ya kufanya hayo akaandaa watu wakumfanya arekebishe katiba iliwe madarakani maisha yake yote.
Mungu akamsikia, akampa alicho kitaka akawa madarakani maisha yake yote mpaka alipo kufa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
🤣😂🤣😂🤣😂Tangu Vita vya UKRAINE vianze nipo kwenye Uzi wa International...nimeingia humu kwa bahati mbaya ....
 
Wewe watumwa wenzako walionunuliwa toka CDM wamepata teuzi,wewe ukilaza wako na ujamvi la wageni vimekufanya "unuke". Pole sana.
Naona umeanza "kunyea kambi" ,jambo ambalo kwa CCM halitakiwi.
 
Kuna kila dalili mwaka 2025 na kuendelea ni dhahiri CCM itaenda kwenye uchaguzi dhidi ya wananchi na hapo siku zijazo itabidi kumtafuta Magufuli mwingine kunusuru chama.

Ajizi nyumba ya njaa!
Ushauri wa bure, tulia, weka akiba ya maneno, zamu yako itafika tena, utaitwa kushiriki tena kula karamu ya Bwana meza Kuu.

Nape alijinyamazia, January alijinyamazia, Mchechu alijinyamazia, Kinana alijinyamazia, na wewe jinyamazie, you never know!.
Nakupenda!.
P
 
Acha kuongopea uma wewe JPM alikubalika na hilo halina ubishi ndio mpaka kesho mtaendelea kumtafutia ubaya kwa wananchi ili wamchukie. Wewe huwe jiuliza kwa nini JPM ameshafariki lakini bado baadhi ya wanasiasa wanaendelea kumchafua, wanajua bado anaishi mioyoni mwa watu na hivyo bado tishio kwao hasa kipindi cha uchaguzi maana nahakika kuna wanasiasa watatembelea nyota yake na hivyo kuwa tishio kubwa sana
 
Pimbi ni ww unaenunua mafuta ya kupikia elfu 7 kwa lita.. nyang'au mkubwaa..na bado chamoto utakiona mana unaonekana huna hata hela ya kununua boxer
 
Adolph Hitler mwenyewe anayelaaniwa kwa kuanzisha vita vya pili vya Dunia anaenziwa kila mwaka huko Germany. Lakini bado haimfanyi kuwa kiongozi mzuri.

Kuhusu kumchafua Magufuli, huo ni uongo. Alijichafua mwenyewe kwa kumiliki kikundi cha WASIOJULIKAMA, kuua wakosoaji, kutugawa watanzania kiitikadi na kikabila.

Muache aendelee kuoza huko ahera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…