Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

Wewe ndo mjinga kabisa, kwa sababu umeshindwa kutofautisha mambo ya 2004 na awamu ya JPM ya kupambana na mafisadi walio nje na ndani ya ccm

Nyokolo kabisa wewe
 
Jpm was evel. Acheni kujustify vitu ambavyo havistahili kabisa. Nani asiyejua kuwa jpm was evil?
 
Not only that hata negotiations za kupata new terms unatakiwa uanze na position za ajabu ili mje kubishana mezani on what’s fair
We hujitambui kweli, sasa hizo litigation mbona tumelipishwa so far Billion 900 na bado mashauri 6 yanasubiri hukumu.

Huwezi zuia tu retention licence wakati wewe mwenyewe ulizitoa. Kama unaona kuna uhuni si tungefungua shauri kwa arbitrary na tushtaki tupewe compensation.

Kwa akili hizi ndio maana tunalipishwa kila siku. Lissu is smart na ndio maana aliyowaonya yanatokea leo.

Bunch of sore Losers
 

Tafuta kipimo cha kupima uwezo wako wa kufikiri utanishukuru baadae
 
Alishirikiana nao ki vipi ?
Nenda kamuulize kwanini alikua anampinga magufuli kwenye maendeleo jibu utalipata binafsi natamani sana lisu aozee jela mshenzi huyo na mwenzie mbowe walikua wasaliti wa nchi
 
Je
Tunafanana mimi nilianza kustuka mwishoni
 
Lissu hata angekufa ingekuwa poa tu.

Anabwabwaja sana kama domokongo.

Kwanza Lissu ana faida gani nchini?
At least kwa kule kulipa kodi tu alikuwa na faida zaidi ya mijizi inayoibia na kuihujumu nchi(Samia, JK, Rostam and their whole syndicate)
At least alitetea wachimba migodi kisheria, at least alipambana na uharamia wa Mwendakuzimu Jiwe na kwa kuwa hakuwa na jeshi silaha pekee alizokuwa nazo ni akili na mdomo ambavyo amejaaliwa navyo.
 
Achana na huyo ni mtu mwenye chuki na Lissu sijui alimtombea
Lkn, huyu Lissu asiyejua mambo ya mikataba ndo alikuwa wa kwanza kupiga kelele kuwa mikataba ni mibovu kipindi cha Nkapa. Takriban miaka 20+ serekali ndo akaona ukweli.
A
 
M
Mbowe ni mwanamtandao na alikua Anamtumia Lissu ova
 
Magufuli kafanya lipi acha kufanya watu wajinga
Juzi waziri kasema bado makinikia yanapelekwa nje ya nchi swali la kujiuliza magufuli alifanya kipi cha maana ilihali makinikia yanapelekwa nje ya nchi

Unajikutaga unaakili kumbe ni bure kabisa
Lisu ndo mtu wa kwanza kuupigia kelele mikataba ya madini ya dhahabu kule kanda ya ziwa sio nyuma ya keyboard bali alienda na kuwasaidia watu waliochukuliwa mashamba yao kimangula na kufanywa migodi

Ni mjinga pekee anaye-underestimate kazi aliyoifanya lisu
 
We mjinga aliyofanya magufuli we huwezi kufanya mpaka unainga kaburini shenzi wewe tuliza kijambio hicho
 
Hilo li kilema lenu lisssu anaozea jela huko. Nenda kamuokoe nyampala wanamla mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…