Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

NIUKWELI KABISA LISSU ALITUMIKA KIPUMBAVU SANA NA WANAMTANDAO KINA SAMIA NA CHADEMA PIA ILITUMIKA ILA LEO HAKUNA MTETEZI KATI YA WALE ALIO WAPIGANIA DHIDI WA WAZALENDO WANANCHI ...LISSU ANA LIPA LAANA YAKE MWENYEWE .. SIKU NYINGINE WATU KAMA LISU WAJIFUNZE KUWA NA AKILI ZA KIUME SIYO AKILI ZA KIMAMBI
 
Waandishi wa habari huu ndio wakati wenu wa kumuhoji bashite a.k.a makonda kwanza kulingana na anachokisema polepole yeye anasimamia wapi? Kwakuwa wkt ule wa uovu wa jiwe yeye ndiye aliyekuwa kama maliamungu asijifanye kama hasikii anachokiongea polepole pia mmuulize amehamia timu mtandao maana tunaona kila siku anachinja ming'ombe tu huko arusha na kuwalisha watu minyama wakati kipindi kile ndie alikuwa swahiba wa jiwe na sasa tunamuona yuko sambamba na wanamtandao
 
#Wahuni wamejaza vijana wao mtandaoni na nyumba wanawapa masaki.,, by HP
 
Sasa hawa si wameamua kulipa, halafu tofautisha litigation and ADR (arbitration ni ADR. There is slight difference kwenye utaratibu wa hayo mambo.

Kwenye mkataba kuna ADR procedures kabla ya kwenda kwenye usuluhishi wa kimataifa, like I said before someni vizuri IGA muielewe basically ile ndio stabilisation clause ya mkataba.

Magufuli hakufuta licence ya ACCACIA yeye alitaka renegotiation of share and he achieved kupata 50-50 share of economic benefits, kabla ya hapo ilikuwa kama 20% or something.

Haya yanayoendelea wanashindwa kesi sio kwamba nchi ina makosa, moja ya conditional breach kubwa ya mikataba ni performance. Ukipewa kitalu ujafanya kitu kwa miaka hiyo ni performance breach (conditional) inayohalalisha kuvunja mkataba na ndio mikataba aliyokuwa akivunja Magufuli.

Huyu mama yenu kaingia katoa wanasheria waliokuwa wakivunja hiyo mikataba ili waka justify huko arbitration kaweka wake wa mchongo (sasa Magufuli anahusika) vipi tena na mambo ya wahuni leo.

As for Lissu he was just nuisance at the time; hakuna contract renegotiation kwenye natural resources isiyokuwa na vishindo. Either way wenzake walikuwa wanamwambia awaache yeye anaropoka ujinga na kuwachota watu kama nyie.

Among other things stabilisation clause in address political risk; na kuna kipengele ambacho sheria mpya zitakazo impact contract terms hazito apply kwenye existing contract (freezing clause) kama changes lazima mwekezaji aziafiki (intangible clause).

Ndio maana hata kwenye gas wazungu hawakuzitambua sheria za natural resources za 2014 or 15 zile za hati ya dharura na zilizofuata.

Sasa kukadhana na madai angefuata sheria says to me; you don’t know what you are talking about. But that is the standard in Tanzania watu kutoa vitu kichwani mwao tu.
 
Lisu alipigania mkataba au environmental issues ambazo zilikuwa zina impact surrounding communities.

Ebu leta ushahidi Lissu aliwahi pigania kubadilika kwa mkataba.

Punguza uropokaji.
 
Magufuli hakufuta licence ya ACCACIA
Wapi nimetaja Acacia popote? Au unakurupuka tu kujibu ambacho sijazungumza. JPM alibadili sheria ambazo zilifanya kazi retrospectively na zikaathiri kampuni kibao. Hasa sheria ya natural resources permanent sovereignty act na nyinginezo. Alizifuta retention licence kibao na ndio mashtaka yakaanza call it litigation or arbitration doesn't matter ila tulilipishwa.

Sasa wewe unayesema unatakiwa uanze na aggressive position ndio mfanye negotiation na Lissu aliyepinga hiyo approach nani alikua sahihi?

Usomi mwingi ila hamlisaidii taifa, mnapenda sana formalities kuliko precision.
 
Kwenye mkataba kuna ADR procedures kabla ya kwenda kwenye usuluhishi wa kimataifa, like I said before someni vizuri IGA muielewe basically ile ndio stabilisation clause ya mkataba
Kwahiyo moja ya procedure ni kufuta retention licence, au kuenforce sheria retrospectively, au kutengeneza sheria zinazokinzana na global practice mfano eti mahakama za Tanzania ndio zitakua zinasikiliza dispute za wawekezaji!! That was pure insanity.

Cha ajabu kina Prof. OSoro ni wasomi wakubwa ila walifanya mambo ya layman kabisa. Usishangae hata wewe ulikua kwenye ile kamati ya makinikia!! SMH
 
Kaka wanamtandao ndio walipanga kumuua Lisu je Magufuli alichukua hatua gani?? Wanamtandao ndio waling'oa camera kwa lisu tena place anakaa waziri mbunge wa chato kalemani!!
Alitaka kumuua Lissu ni Magufuli na sio mtandao wacha team mwendakuzimu na nyie mpigwe mlitesa sana wenzenu wacha muipate fresh
Sera ya utekaji ilianzishwa na Magufuli sasa imekuwa ya chama
 

Lakini umeshaambiwa kwamba walimtumia Lissu pasipo yeye kufahamu anatumika..
Jpm tayari alikuwa anamchukia Lissu, ingewezekana vipi akamtibu? ule msemo adui muombee njaa ndio hivyo..
Hapo mtoa hoja bado hoja yake ina nguvu
 
Mwnrda
Mwendazake pia mhalifu na gaidi 2%
 
Lisu alipigania mkataba au environmental issues ambazo zilikuwa zina impact surrounding communities.

Ebu leta ushahidi Lissu aliwahi pigania kubadilika kwa mkataba.

Punguza uropokaji.
Ni mikataba pamoja na environment issue
Kwani ni sheria ukipigania mikataba hutakiwi kupigania environment issue mbona unasimamia kwenye hoja za ajabu sana
 
Tają dispute moja kati ya mikataba aliyofuta Magufuli nchi ililipa deni akiwa hai.

Zaidi ya kusubiri kuteka na kuzuia ndege tu. Haya madeni yote yanalipwa na wanasheria wa mchongo wa Samia.
 

Hapa ndo naona nchi Ina watu wenye IQ ya chini Sana . kwa swali kama hili umeuliza .
 
Who determines kwamba kuna breach? Kulikua na independent auditor/overwatch au ni upande mmoja tu ukiamua basi unakua ndio fact? Wasomi wa nchi hii ni disappointment
 
Ndio maana nikakueleza maswala ya freezing clause na intangible clauses (hizo ni aspects za stabilisation clause) ambapo sheria żako haziwezi badili existing terms za mkataba ulio live kirahisi.

Mikataba mingi aliyovunja Magufuli kulikuwa hakuna performance and that’s a breach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…