Kivipi wanamtandao walihusika na umafia? Watajwe tu ili ukweli ujulikane ni nani wanahusika kupanga mauaji, sio kukwepesha ukweli wakati hata mbulula wa chini ya mtu anaweza ku sense aliyepanga jaribio la kumua TAL ni nani. Muachage propaganda
Alafu cha ajabu mpaka leo makinikia bado yanasafirishwa nje ya nchi unajiuliza zile drama za magufuli zilikuwa na faida ganiKwahiyo moja ya procedure ni kufuta retention licence, au kuenforce sheria retrospectively, au kutengeneza sheria zinazokinzana na global practice mfano eti mahakama za Tanzania ndio zitakua zinasikiliza dispute za wawekezaji!! That was pure insanity.
Cha ajabu kina Prof. OSoro ni wasomi wakubwa ila walifanya mambo ya layman kabisa. Usishangae hata wewe ulikua kwenye ile kamati ya makinikia!! SMH
Sasa kwanini tunalipishwa mabilion kwa yeye kuvunja mikatabaNdio maana nikakueleza maswala ya freezing clause na intangible clauses (hizo ni aspects za stabilisation clause) ambapo sheria żako haziwezi badili existing terms za mkataba ulio live kirahisi.
Mikataba mingi aliyovunja Magufuli kulikuwa hakuna performance and that’s a breach.
Akiwa hai? Kwani mashauri huwa yanachukua miaka mingapi?Tają dispute moja kati ya mikataba aliyofuta Magufuli nchi ililipa deni akiwa hai.
Zaidi ya kusubiri kuteka na kuzuia ndege tu. Haya madeni yote yanalipwa na wanasheria wa mchongo wa Samia.
Nikikupa kitalu uchimbe madini baada ya miaka kadhaa after host government agreement ujafanya kitu. Maana yake huna uwezo wa kuchimba na unaninyima income. That’s a breach uhitaji auditor kuona deprivation of ‘consideration’.Who determines kwamba kuna breach? Kulikua na independent auditor/overwatch au ni upande mmoja tu ukiamua basi unakua ndio fact? Wasomi wa nchi hii ni disappointment
Lakini umeshaambiwa kwamba walimtumia Lissu pasipo yeye kufahamu anatumika..
Jpm tayari alikuwa anamchukia Lissu, ingewezekana vipi akamtibu? ule msemo adui muombee njaa ndio hivyo..
Hapo mtoa hoja bado hoja yake ina nguvu
Kawaulize wanasheria wa mchongo wa Samia hakina Hamza Johari or whatever is name his.Sasa kwanini tunalipishwa mabilion kwa yeye kuvunja mikataba
Unajua mikataba magufuli karibia yote aliyoivunja leo hii nchi inalipishwa fidia kwa kuvunja kienyeji
Swala sio kutokua nauwezo acha uongo Botswana mbona mikataba yao ya madini ni mizuriNikikupa kitalu uchimbe madini baada ya miaka after host government agreement. Maana yake huna uwezo wa kuchimba na unaninyima income. That’s a breach uhitaji auditor
Samia aliwatoa wanasheria wa Magufuli waliokuwa wana terminate hizo, contract na kuweka wake wa mchongo.Akiwa hai? Kwani mashauri huwa yanachukua miaka mingapi?
Wa samia nawakati kabudi alikuwepo kipindi cha magufuli na leo yupo kwenye serikali ya samiaKawaulize wanasheria wa mchongo wa Samia hakina Hamza Johari or whatever is name his.
It has nothing to do na Magufuli
Na kabudi ambaye bado yupo kwenye serikali ya samiaSamia aliwatoa wanasheria wa Magufuli waliokuwa wana terminate hizo, contract na kuweka wake wa mchongo.
It has nothing to do na Magufuli
Tunaongea mambo ya Tanzania and what transpired unaanza hadithi za Botswana.Swala sio kutokua nauwezo acha uongo Botswana mbona mikataba yao ya madini ni mizuri
Acha kutishia watu kwamba sina uwezo wa kuchinba ndo kigezo cha kunikandamiza
Kabudi ndio anaenda kwenye arbitration za serikali?Wa samia nawakati kabudi alikuwepo kipindi cha magufuli na leo yupo kwenye serikali ya samia
Kuna kipindi aliulizwa kuhusu sakata la nakiniakia sababu alikuwepo unajua alijibuje alisema ile ilikuwa ni kanyaboya
Botswana na Tanzania wote wanarasilimali za madini na wote ni nchi za kiafrikaTunaongea mambo ya Tanzania and what transpired unaanza hadithi za Botswana.
Hata kama haendi yeye ni muhusika wa hili saga lilipoibuliwa wakati wa magufuli na ndo moja ya watu aliyemshahuri magufuli avunje ile mikataba au na hili hulijuiKabudi ndio anaenda kwenye arbitration za serikali?
Mbona ana kitabu kabisa tulifundishiwa nikiwa UDSM!! Kinaitwa Golden opportunity kinaongelea madhaifu ya kisheria na kiutendaji kuanzia mikataba, mapato hadi udhibiti yanayohitaji mabadiliko ili madini yawe na tija kwenye uchumi.Lisu alipigania mkataba au environmental issues ambazo zilikuwa zina impact surrounding communities.
Ebu leta ushahidi Lissu aliwahi pigania kubadilika kwa mkataba.
Punguza uropokaji.
Hila rudi kwenye maelezo ya mtoa mada alafu ongeza na uwezo wako wa kuchanganua mambo, Lissu alikuwa anatumika pasipo kujua anaewatumikia wana lengo gani ovu juu ya nchi na anayeenda kumuhujumu ana malengo gani mema na mapenzi gani na nchi yake.Afu mbona Jpm alitamka wazi kwamba mtu anaepiga maendeleo anatakiwa kuuwawa
Ina maana unabisha kuwa mabadiliko ya sheria hayakua msingi wa kufuta retention licence?Among other things stabilisation clause in address political risk; na kuna kipengele ambacho sheria mpya zitakazo impact contract terms hazito apply kwenye existing contract (freezing clause) kama changes lazima mwekezaji aziafiki (intangible clause).
Ndio maana hata kwenye gas wazungu hawakuzitambua sheria za natural resources za 2014 or 15 zile za hati ya dharura na zilizofuata.
Sasa kukadhana na madai angefuata sheria says to me; you don’t know what you are talking about. But that is the standard in Tanzania watu kutoa vitu kichwani mwao tu.