Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

Ni kweli kabisa, Wafe wote katika hizi siku za usoni.
 
Lilipokufa lile lucifa dunia ilishangilia
 
Duh!....Albadiri hii...?
 
Kwa hiyo mtu akikuwahisha kufa kwa kukupiga risasi ruksa au usizuie kifo kwa sababu mwishowe utakufa?
 
Lile adui kubwa lilipo kufa dunia ilipumua
Adui mkubwa ni kifo chenyewe,huyo aliyekufa alikuwa adui Yako Kwa kuzuia wizi,vyeti feki,mishahara hewa na mambo kama hayo,mmawia unapenda rushwa ukamwona adui mkubwa,bila yeye sgr,dom,jnpp isingalikuwapo,RIP Shujaa tunakukubuka sisi wazalendo,siyo act.
 
Magufuli Pombe
Mbona MAALIM SEIF AMEKUFA?
MBONA KAKA YAKE MBOWE AMEKUFA?
MBONA LOWASA AMEKUFA?
MBONA MKAPA AMEKUFA?
MBONA MEMBE AMEKUFA?
mbona kaka yake kikwete amekufa?
KAMA KIFO NI ADHABU MBONA HAO WAMEKUFA? walimpiga nani risasi?
 
"Acha Nipumzike sasa", kwani nawe ni mmoja wao? Umeamua kutuaga!
Mungu akuweke unapostahili motoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…