Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia


Wewe hujajiandika utakufa lini, hii ndiyo shida ya uandishi wako! Kwa hiyo wewe utaishi milele siyo!
 
Le mutuz alikuwa ndani Gari iliyoshiriki shambulio tayari kafa na cyprian msiba yupo hoi pamoja ha Gilibet yule aliyemtolea bunduki Nape yupo jela kwa kosa la kupora pesa za mfanyabiashara na kisha kumuua
 
Wewe hujajiandika utakufa lini, hii ndiyo shida ya uandishi wako! Kwa hiyo wewe utaishi milele siyok
Kila mmoja atakufa ingawa kuna kutangulia kufa kabla haujamaliza kile ambacho ulikipanga
 
Le mutuz alimwekea Sumu Luge akafa akajua ataishi milele na yeye kaja kufa bila mke wala familia
 
Mkumbushe naona kasahau nakuona kifo sio sehemu yake yeye.

Mkwawa aliejinyonga (kufa) mwaka 1898 na ww ukafa mwaka 2024 hakuna tofauti wote mnakuwa mmekufa na kuacha ulimwengu na usijue kinacho endelea tena huku duniani.


Mkuu hutakiwi kujivunia kufa kwa mtu ilihal aliekufa hadaiwi karo ya shule, hadaiwi kodi ya nyumba, hadaiwi kodi za TRA, Hasumbuliwi na wana siasa na kuchanganyikiwa akili kama ulovyofanywa wewe hapo, hapati taarifa za misiba ya ndugu zake na kushtuka moyo (shock), hauguzi ndugu na jamaa, hawazi kiwanja wala mali za kuachia urithi watoto.

Kwa kifupi kufa na kwenyewe ni jambo jema tu as part ya cycle ya Maisha.
 
Kama hakuna tofauti wewe unafanya nini hapa duniani kwenye kila aina ya mahangaiko?
 
Hii nyomi ya kufa mtu ni pamoja na figisu la wenyeviti feki wa Bodaboda,
Hii ni Arusha leo? Manake around saa saba/nane ilipiga mvua ya hatari ngaramtoni nikajua mambo mengi yamevurugika mjini.
 

Membe, Lowasa, kaka yake Mbowe nao ni wahusika?
 
Mitume wa Mwenyezi Mungu wote wamekufa,Yesu mwenyewe kafa na miaka 30 tu,(Ayubu 14:1
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke <br>Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. )Kifo hakina cha mbaya wala mwema terehe yako ikifika unaondoka hata kama ni mwema kiasi gani.Vijana Mbowe mkikosa agenda mnaleta ujinga hapa jukwaani
 

Sawasawa.
 
Ingekuwa kaka Yako ndo kapigwa risasi Wala usingeandika hivi, au tuambie mtu akimpiga panga babako hautafanya chocchote kwakuwa nawe utakufa?
 
Ninachojua wagombea uraisi 2015 kwa asilimia kubwa wameshalamba mchanga.
Kifo kinakuja regardless umefanya na kuishi kwa namna gani hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…