Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

Wewe ni mjinga na mpumbavu na Wajinga na wapumbavu wenzako ndio watakuunga mkono. Kwanini nasema hivyo? Waliomuua unawajua? Kwa vipi unawajua? Usitafute cheap popularity kujifanya unajua kumbe ni limbukeni wa mtandaoni tu sawa na wasanii wa Bongo Movies kujifanya matawi ya juu wakiwa wazima, wakiugua wanataka tuwachangie pesa ya matibabu! PUMBAVU!!!
Mkuu umepaniki sana. Kwani ametaja mtu?
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Watibeli mmetisha kwenye hili
 
Wewe ni mjinga na mpumbavu na Wajinga na wapumbavu wenzako ndio watakuunga mkono. Kwanini nasema hivyo? Waliomuua unawajua? Kwa vipi unawajua? Usitafute cheap popularity kujifanya unajua kumbe ni limbukeni wa mtandaoni tu sawa na wasanii wa Bongo Movies kujifanya matawi ya juu wakiwa wazima, wakiugua wanataka tuwachangie pesa ya matibabu! PUMBAVU!!!
Mkuu
Lisu aliuawa kumbe.... haya tupe maelezo ubaoni
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
Acha kutafuta umaarufu wa kijinga, kila mtu atakufa tofauti tarehe.
 
Nani ataishi milele hata akiwa mwema?

Hakuna wema wanakufa na umri mdogo?

Mto mada utaishi milele?

Kila ukilala na kuamka usisahau kuomba kifo chema hata kabla ya mali.

Kifo kinaweza kuwa hitajio la asili, kinaweza kuwa sadaka, kinaweza kuwa laana, kinaweza kuwa ni adhabu.

Kifo ni tendo gumu. Ndiyo maana anayejitolea kufa kwaajili ya wengine huwa ametoa sadaka kubwa kuliko zote.

Lakini wakati huo huo, anayemwua mtu hatari, kwa mfano jitu linaloua watu wengine, dhulumaji, tesaji, huonekana ametenda jambo jema sana (refer kifo cha Goliati aliyeuawa na Daud - kifo cha Goliati ilikuwa furaha ya wanaoonewa, na muuaji Daud akawa shujaa).

Kifo ni adhabu ya juu kabisa kwa kosa kubwa kabisa (refer. angamizo la Mungu, Sodoma; Serikali nyingi Duniani hutoa adhabu ya kifo kwa wauaji na makosa mengine wanayoyaona ni makubwa kuoindukia).

Kifo kinaweza kuwa ni laana pia.

Hivyo, kifo kuwa hitajio la asili, au laana au adhabu, kuwa tendo la masikitiko au furaha, inategemea sana mazingira yake.

Waliotaka kumwua Tundu Lisu, kufa kwao mapema lazima kutatoa faraja kwa watu wema, maana wakiendelea kuishi, hujui kesho watamwua nani. Labda wajute, waombe msamaha, na watamke kuwa huo ushetani wanaujutia na hawatautenda tena, ndipo wapokee msamaha kwa wanadamu wenzao na kisha wapate msamaha wa Mungu.
 
Nani alikufa Lisu akashuhudia kifo chake?
Ukiacha ambaye kila mmoja anamjua, yule mwingine alikufa kwa kukatika miguu wakati akitoka Bagamoyo kuelekea Dar. Alipelekwa Muhimbili, lakini siku hiyo hiyo aliondoka.
 
Kwema Wakuu!

Mwaka 2017 siku moja bàada ya Lissu kupigwa mvua ya risasi niliandika makala niliyoipa kichwa "Tundu Lissu katika Tundu la Simba" Lisu akiwa mahututi hajitambui niliandika makala hiyo huku nikilaana na kuwalaani wote walioshiriki kumpiga Lisu Risasi Wafe mapema zaidi kabla ya Tundu Lisu. Na Lisu awe shuhuda wa vifo hivyo vya adui.

Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.

Maneno haya ni amini na kweli. Labda kama mimi sio Mtibeli.

Acha Nipumzike sasa
na wewe ukitangulia mbele ya haki tutasemaje?wale watu hawezi kuomba msamaha hadharani kwa sababu watakamatwa.lakini waweza kutubu kimoyomoyo
 
Ninairenew ile laana, kwa maadui waliobakia kuwa sio tuu Lissu ashuhudie vifo vyao bali wasifikishe umri wa miaka sitini. Kwa wale ambao wataomba msamaha moja kwa moja kwa Tundu Lisu laana hii haitawafika.
Da! Hii kali, kuna mmoja ameanza kuhisi kila wakati kuna watu wanataka kumuua kumbe ni wenge limeanza!
 
na wewe ukitangulia mbele ya haki tutasemaje?wale watu hawezi kuomba msamaha hadharani kwa sababu watakamatwa.lakini waweza kutubu kimoyomoyo
Hakuna toba ya kimoyomoyo hata kidogo ndugu! Soma vitabu vitakatifu.
 
Ile ilikuwa move iliyobuma
Dereva wake yupo wapi mbona mmemficha hadi leo?
Hakuna cha risasi 40, 38, 30 au 16
Inabidi nawewe siku moja uicheze muvi ya vile,uone kama utasafirishwa ufike hata unapowazia utafika.
 
Back
Top Bottom