Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana


Sawa Ummy tumekusikia. Usitumie nguvu nyingi kujisafisha fanya kazi kwa ubora.
 
Waziri Ummy ni genius katika kusimamia wizara za nchi hii. Changamoto anakwamishwa na siasa za hovyo za nchi yetu. Watumishi sasa wananyanyasika sana na bima ya afya

Unajichanganya. Unasema ni genius halafu bado unasema anakwamishwa na siasa za Nchi hii. Sasa huo ugeneous kaupataje?
 
Hatimaye Jana yeye mwenyewe kakiri amekuwa akiwaonea watumishi wa ngazi za chini huku suala la kuchangia gharama za kujifungua likiwa limepitishwa na kujulikana na wizara. Atoke tena hadharani amuombe radhi Rais Kwa uongo.
 
Wewe mara ya mwisho kurombwa na kuliwa Jicho ilikua lini?
 
usilolijua ni sawa na usiku wa giza, ukiyajuwa ya huyo dada utamuona ni mtu wa hovyo sana
 
Nipe na Mimi hicho kipochi manyota nikifumue bibie,
 
Na Mimi unipe basi nikurombe na wewe hapo sekretari,
 
Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake,ukiangalia comments zao humu utakubaliana na mm
 
Alikuwa anabebwa na magufuri tu si huyo tu viongozi wengi wawaziri walibebwa na magufiri tu. Sa 100 kasema mimi sikuingilii tatua mwenyewe matatizo ya wizara yako ndo maama wizara nyingi zimeyumba. Mojawapo ni afya
 
Kuna mifano yoyote ya namna anahujumiwa yeye specifically?

Yes! Anatuhumiwa kwa wagonjwa kulala wawili na wengine wanalala chini Je kwa hilo mnataka Anunue vitanda kwa mshahara wake? Hospital hazina dawa Je yeye anatuhumiwa ndiye Mnunuzi anayetowa pesa? Anatuhumiwa ndugu wa maiti kulazimishwa kulipia bill za Hospital kweni yeye Ni Bunge/Serikali lililopitisha Sheria hizo? Analalamikiwa kutoa Bima ya watoto na kuleta Bima ya wote kweni yeye ni Bunge lililopitisha mswada huo?
MWACHENI HUYO UMMY ACHAPE KAZI ZAKE NAYE ANA WATOTO KAMA NYIE
 
Vituo vya afya viko chini ya tamisemi.Kwa Waziri Mchengerwa kiutawala, Wizara ya afya inasimamia hospital za Mikoa na Rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…