mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Kwa hiyo shingo ndo uzuri wa mwanamke na sura je?Angalio hiyo shingo yake yapingiri hatari mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo shingo ndo uzuri wa mwanamke na sura je?Angalio hiyo shingo yake yapingiri hatari mkuu
Huyu waziri hana uwezo angalia siku watu wakihoji uone anakimbilia kuwalipa machawa waje na utetezi.Afu hapa watu wakisema, eti Ummy anachafuliwa khaaah
Tuna Hela ya kununua goli milioni 10 halafu hatuna Hela ya kupeleka dawa ma hospitalini.Mimi ni shahidi wa kuwa huyu Shangazi anajitahidi sana sana kwenye kazi zake, labda tu kuna watu wanampiga vita kwa mambo yao. Huyu Shangazi hanijui, simjui, ila mwaka jana alitusaidia sana mimi na familia yangu. Mama yangu alikuwa anashida ya figo, tukamtafuta, alihakikisha tunapata msaada wa kipekee sana. Na wala hatujui, maskini ya Mungu.
Huduma ya afya Tanzania ni pana sana kusema umbebeshe lawama Waziri. Hii Wizara inahitaji efforts za watu wengi hasa Rais mwenyewe. Huku panahitaji budget kubwa sana, ila na sisi nchi ni maskini, na bado vipaumbele vya serikali havieleweki (kwa muda mrefu hatujaweka afya kama kipaumbele). Yeye kama waziri mwenye dhamana, kazi anaifanya sana tu.
Kiukweli tuko pabaya ila watu baadhi hawaoni tuThat is a mockery!?
If this is true then tuko pabaya sana
Hivyo vyeo ni kawaida kupigwa vita kwa Afrika.Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
Japo naona na napata hisia yupo mtu anayetaka atoke na mtu huyo anampiga majungu kimya kimya lakini pia kwa kuibua habari chonganishi za sekta ya afya akiwa na lengo la kuonesha Waziri hafai.Je mtu huyo ni nani?anataka nini na je anao uwezo wa kuisimamia sekta ya afya kuliko UMMY?
TUJADILI KWA HAKI!!
We nae nilikuwa nakuheshimu kumbe mpuuzi TuNani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
Japo naona na napata hisia yupo mtu anayetaka atoke na mtu huyo anampiga majungu kimya kimya lakini pia kwa kuibua habari chonganishi za sekta ya afya akiwa na lengo la kuonesha Waziri hafai.Je mtu huyo ni nani?anataka nini na je anao uwezo wa kuisimamia sekta ya afya kuliko UMMY?
TUJADILI KWA HAKI!!
Huyu Ummy amepiga Pesa zaidi ya 1Billion unatetea upuuzi tuMtu yoyote anaweza kusema haya. Huu ni uzushi, JK hakuwa na uwezo wa kuinfluence maamuzi ya JPM, kila mtu anajua hilo hata hiyo Ummy anajua kuwa hakuna kosa angefanya kama kumuomba JK amlobby JPM. Acha wivu na husda kwa mwanamke mwenzio. Ukweli hakuna Waziri amewahi kuimudu hii sekta kama Ummy, anabebwa na utendaji wake, rekodi na takwimu ndizo zinazombeba. Aliondolewa hapo wote tunajua Chanjo ya UVIKO-19 ili doda, aliporudi mpk WHO walikubali wenyewe. Huyu mama hata kama hatumpendi tumpe maua yake akiwa hai, tusitake kumtoa kwa kashfa, tumuogope Mungu.
Swadakta umesema kweliEmbu tuletee hizo takwimu zinazompaisha huyo Ummy wako. Na sera gani alizo introduce kupata hayo mafanikio.
Matatizo ya afya ni complicated hata huyo Gwajima utegemei ata ya maliza kwa miaka mitano, walau anauelewa mpana wa medical practice, policy/regulations and management kuanzia kwenye zahanati mpaka hospitali za rufaa.
Shida kubwa ya afya ni working culture ya kutofuata miongozo ya afya na Dorothy alikuwa ana expose hayo mambo alipokuwa TAMISEMI kila siku na hata muda mchache alipokuwa waziri. Anahitajika mtu wa kupambana kuona taratibu za practice zinaheshimika na hiyo sio kazi ndogo kuwabadili watu tabia.
Let me tell what Dorothy Gwajima angefanya kama angekuwa waziri kwenye hili sakata la mimba. Badala ya kuzunguka na kwenda vituo ambavyo havina shida na kufanya propaganda huku akificha tatizo. Yeye angewaibukia kituo chenye tatizo na kuanza kuwapiga audit ajiridhishe kama number of staffs wanaotakiwa kuwa shift wote wapo nurses, wakunga, kama wanazidiwa na wajawazito angeomba barua yao iliyoandikwa wizarani kuomba kuongezewa wakunga, angekagua kama wajawazito wanapewa pre-natal care sahihi and so forth; kwa kifupi pangechimbika.
Sina shaka kuna uzembe huko wa ndani based on bad working culture na Dorothy kaonyesha mara kadha kila alipokuwa akiamua kuwapiga audit ya papo kwa hapo iwe inventory control au process za mahabara.
Usicheze na Dorothy kuna siku walitaka kumuongopea dawa hakuna akawaambia subirini mnanisikia tu hamnijui aliwaanzia kwenye order ya dawa na kuanza kupiga audit hadi kwenye remaining stock halafu akawauliza mbona receipts za MSD, issues na inventory hazi match dawa mlizopewa zimeenda wapi. Mwisho anawaambia ‘now you see now you don’t ebu nielezeni dawa ziko wapi hiki sio kitendawili cha Schrödinger’s equation’ tells you she is deeper in quantum physics too (to appreciate her sarcasm you need to understand particles behaviour).
Dorothy Gwajima is something else to appreciate her inabidi uwe na abc za health management.
Kuna siku tena akakuta wagonjwa wanacheleweshewa vipimo wakataka kumuongopea, haya subirini twende kazi akawapiga process audit hadi maabara wenye wakaomba msamaha.
Unataka kumfananisha Dorothy na Ummy; akili zako sio sawa. Ndio afya awamtaki Dorothy kwa sababu awawezi muongopea.
Temeke Hospital, Mbagala Zhakiem, Round Table na hospital yoyote ya serikali wana pokonya simu wazazi wengine waficha kiswaswadu anaongelea chooni manesi wasimuone ukiwa na shida kaongee na nesi anapigia ndugu aisee vile hospital nilimfata Dr wangu niliapa sirudi hio clinic nayo majanga matupu labda uonge nesi 2000-3000 utahudumiwa vizuri kwanza hawana muda uhoji maswali hio foleni sasa ya maabara hapana jamani niliapa sitorudi nikazaa Private raha sana unabebembelezwa unanyeyekewa.Dah, hospital gani Tena kushimiana Hadi simu jamaa! Mimi sijawahi peleka familia yangu serikalini kutokana na kesi Kama hizi ninazosikia au kusoma
Kama f4 failSasa si apewe wizara ya Katiba na Sheria, huko Afya anafanya nn?
Nchi haiko serious hii. Khaaaah.
Kama f4 failure amepewa wizara itakuwa huyo mwenye degree yake.Sasa si apewe wizara ya Katiba na Sheria, huko Afya anafanya nn?
Nchi haiko serious hii. Khaaaah.
Hivi ni kwanini huwa haonyeshwi picha nzima mara zote uonyeshwa sura tu, na hii ni january to december, je uongea na mpiga picha kabla ya kurusha?Ummy ni mzuri Wa sura roho hadi matendo yake. Hakuna mwanamke bora Kama yeye kwa sasa .
MTU anayejitambua hawezi bisha hii
Huo ufawidhi vituoni ni kazi ya kujitolea tu, Kama unaona hawafai wekeni wanaofaaSikatai changamoto zipo ila sio za Ummy. Hao wafawidhi na viongozi wa huko na madaktari wanachukua hatua gani? Umesema hapo juu wanafanya upasuaji vibaya ili warudie wapate hela japo sina hakika, sasa hapa analaumiwaje Ummy na sio hao madaktari ndio wakuchukuliwa hatua?
Chanjo ya COVID nadhani tumetia fora kwa KUPIKA DATA ili kufurahisha Donors 🇹🇿🇹🇿🇹🇿Ok Ummy amestructure muundo wa Wizara sina haja ya kukufafanulia in details. Unakumbuka alipokua Gwajima alipotuingiza kwenye nyungu, takwimu za afua za UVIKO-19 zilipokwama, Ummy ndie aliyekuja na mikakati ya kuziinua mpk Tanzania tukashika namba 2 Afrika kwa kufanya vizuri. We tukana kwa hasira tu lkn namba mnazisoma.
Sukuma gang kaziniNani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
Japo naona na napata hisia yupo mtu anayetaka atoke na mtu huyo anampiga majungu kimya kimya lakini pia kwa kuibua habari chonganishi za sekta ya afya akiwa na lengo la kuonesha Waziri hafai.Je mtu huyo ni nani?anataka nini na je anao uwezo wa kuisimamia sekta ya afya kuliko UMMY?
TUJADILI KWA HAKI!!
Chuki binasfi na wivu uliopitiliza dhidi ya huyu mama. Madaktari wanakosea huko na kusababisha madhara kwa wananchi tuhuma analetewa ummy as if yeye ndio yupo Kituoni. Kwenye Hospitali kuna timu za uendeshaji huduma za afya kuanzia mganga mkuu wa wilaya, mkoa, kuna mabaraza ya kitaaluma kuna Idara za Wizarani then ndio aje kuamua yeye wa Mwisho au ORTAMISEMI. Kuna makosa mengine kweli tunaona kabisa hapa kuna udhaifu kwenye mifumo na Mhe. Ummy kweli tunaona amekuwa mstari wa mbele kukemea utendaji mbovu katika Sekta ya Afya. Sasa Watanzania tunataka tupewe sijui Waziri gani aje afit hapo. Kwa Dunia ya sasa hatukupaswa kufanya hivi vitendo vya kumdhoofisha morari Waziri Ummy Mwalimu anachapa kazi nzuri na sisi tunaona. Tuache mambo ya Wivu usiokuwa na tija.Nani yupo nyuma ya huu mchakato mchafu wa kumchafua waziri wa Afya Ummy Mwalimu?
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya ...yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii.ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
Japo naona na napata hisia yupo mtu anayetaka atoke na mtu huyo anampiga majungu kimya kimya lakini pia kwa kuibua habari chonganishi za sekta ya afya akiwa na lengo la kuonesha Waziri hafai.Je mtu huyo ni nani?anataka nini na je anao uwezo wa kuisimamia sekta ya afya kuliko UMMY?
TUJADILI KWA HAKI!!
Siasa mchezo mchafu.. Inahitaji moyoo na courageSiasa ndivyo zilivyo...