kunena
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 506
- 719
By my conclusion after 15 years of being JF contributor watanzania deserve what they get.
Watu tuliokuwa tunapiga kelele toka siku huyo dada anawekwa hiyo wizara jamani hee huko kuna maisha ya watu msicheze nayo hiyo sector ni technical na huyo mtu hana qualification za kwenda huko, mlikuwa mnatuona kama vile tuna vita binafsi.
![]()
Global Patient Safety Action Plan 2021-2030
The Global Patient Safety Action Plan provides a framework for countries to develop their respective national action plans on patient safety, as well to align existing strategic instruments for improving patient safety in all clinical and health-related programmes.www.who.int
Katika sector duniani ambazo zinatoa nafasi ndogo ya ubunifu wa mtu binafsi kwenye kuendesha na kusimamia huduma ni afya.
Afya is very hierarchical (top-down) policy and regulations wise. Watoa huduma mipango yao inatakiwa kufuata miongozo kutoka wizarani au medical professional bodies (na wizara zote over 90% ya policy zao ni WHO directives) hakuna ubunifu wa mtu binafsi kwenye management ya afya.
Ndio maana hata chawa awaelewi jukumu la serikali (wizara) kwenye safeguarding patients care wanapokuwa huko mahospitalini.
Yalikuwa maamuzi ya kijinga sana kumtoa Dorothy Gwajima afya mtu ambae achilia ya kuwa medical doctor anaufahamu mpana wa health management (sio kila doctor ana huo ufahamu), she was trained for that role.
Sasa leo mnalalamika nini, sio matatizo ya Ummy wagonjwa wanavyokuwa mistreated huko kwenye services level, but then akishapewa hayo malalamiko does she have the wit to troubleshoot the problem? Ndio maana unahitaji technocrat to safeguard patients.
Huko kwenye bima ya afya CAG anakwambia kuna upotevu wa zaidi ya hundreds of billions through fraudulent activities ujafanyia kazi hoja za CAG kuzuia hizo leakage? Who do you think is gonna pay for the losses. Ni wewe mwananchi ambae utapandishiwa gharama za bima ili mfuko usifilisike kwa uzembe wao wakuto zuia fraud za ndani na nje ya shirika.
Kwa aina ya viongozi tunaochagua na wastani wa akili zetu, tunachopata pia ni stahiki yetu; huo ndio ukweli wenyewe.
Ebu imagine mtu anaanzisha mada ya kujadili bima, halafu anasema NHIF wasihusishwe how is that even possible wakati wao ndio wanafahamu changamoto za finance.
The nonsense of this country is beyond me.
Huyo Gwajima lipi la maana amefanya akiwa NKM Tamisemi, na alipokuwa Wizara ya Afya. Rekodi ya utendaji wa Ummy, takwimu zinajulikana na kutambulika na watu wote ndani ya Wizara, sekta na Wadau wa Maendeleo.