kunena
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 506
- 719
Ngoja uuguliwe ndio utajua ummy anafaa au hafai,hospitali zote zimeoza kuna madudu huko wanayofanyiwa watanzania yanasikitisha,fika hapo muhimbili tu uone wagonjwa walioruhusiwa lakini wamezuiwa kutokana na kutokua na pesa za matibabu,na halafu sasa hivi kuna mchezo kati ya wagonjwa 10 wanaofanyiwa upasuaji basi 8 watakosewa maksudi na wakikosewa upasuaji mwingine unalipa tena hata kama kosa lilikua la kwao,moi pale operesheni laki 3,ukikosewa mara 3 uwe na m 1.8,jamaa wanafanya masihara sana na maisha ya wenzao
Sikatai changamoto zipo ila sio za Ummy. Hao wafawidhi na viongozi wa huko na madaktari wanachukua hatua gani? Umesema hapo juu wanafanya upasuaji vibaya ili warudie wapate hela japo sina hakika, sasa hapa analaumiwaje Ummy na sio hao madaktari ndio wakuchukuliwa hatua?