Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana


Sikatai changamoto zipo ila sio za Ummy. Hao wafawidhi na viongozi wa huko na madaktari wanachukua hatua gani? Umesema hapo juu wanafanya upasuaji vibaya ili warudie wapate hela japo sina hakika, sasa hapa analaumiwaje Ummy na sio hao madaktari ndio wakuchukuliwa hatua?
 
Uliwahi kusema Kei inawabeba wengi.
Aibu yetu wanaume
 
Degree moja haijawai kuwa elimu ndogo ni elimu ya juu, Tanzania ibadilishe mfumo wa elimu wengi mnasoma ujinga; ungeandika ana uelewa /maarifa kidogo hapo ungeeleweka.
 
Tuache uchawa kwa maendeleo ya Taifa. Ummy hii wizara haimfai uwe unafuatilia post za MMM uone uchafu wa wizara yake. Kufuta bima za watoto hapa wamekosea sana kama wizara.
Atakuelewa basi...hapa anakaza fuvu tu..... Aonekane mtetezi (chawa) ....ukweli anaujua hakuna kitu kigumu kama kudanganya nafsi yako....
 
Wewe unae mtetea umetumwa na Ummy? Shida ya Watanzania ni wafupi wa kufikiri, hivi kuna mtu anaweza amtume Mange kumchafua Ummy? Kwamba akishatoka anauhakika Rais atamweka yeye kwenye wizara hiyo? Na je Magufuli alivyomtoa kwenye afya watu walihonga?

Shida yetu ni pale tunapochukulia mambo ya msingi ni siasa, umesikia namna mzazi alivyofariki Kabuku, Jana umeona familia ilivyopoteza mama na mtoto Shinyanga, na kesi zote zinageuzwa kwa kutetewa watoa huduma za afya,. Sina maslai yoyote ila binafsi Ummy ni disaster kwenye afya sawa na Mungai alivyofanya kwenye elimu.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 

Sasa kwenye hizo kesi ulizotaja Ummy anaingiaje? Yani daktari afanye uzembe huko kutokana na tamaa yake ya rushwa au kutofuata misingi ya maadili ya taaluma yake halafu aje kulaumiwa Waziri seriously? Shida yetu Watanzania tumeenda shule lakini hatujaelimika.
 
Watu wanathamini Mbunye kuliko maendeleo ya nchi,alafu na sisi tunaamini kuna siku tutaendelea kiuchumi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
JK kama alimshawishi JPM kumfanya Samia mgombea mwenza inashindikana vipi kumshawishi Ummy awe Waziri!
Kuna Wizara ukipwaya,unaonekana tu, kwenye Afya Ummy kapwaya sana na hasa kwenye Bima ya Afya ndiyo ovyo kabisa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hana wa kumchafua hivi mlishaenda hospital za serikali kweli??? Aisee ile nimefika anaambiwa mlinzi anikague achukue simu nilisema sitoi simu na hanigusi mtu mwili wangu atakae nigusa nakufa nae na nikasema mpigieni Dr flani aje wakasema kumbe dharau sababu una mtu wako Dr akapigiwa akasema muacheni nayo tu hana shida huyo hawezi record nikajua kumbe simu watu wasi wa record aisee niliapa sitorudi tena wanangu walofata nikazaa private hospital huduma nzuri alikuwa anasema kuzaa ni bure ila ukienda hospital unalipa 80,000 kujifungua na kama hauna pesa unawekwa kizuizini mpaka upate pesa ya kukutoa na unapokaa hospital deni lazidi haya bima ya watoto imetolewa eti mpaka uwe shule hivi kuna watoto wanaumwa kama hawa watoto wachanga mpaka miaka 4-5 ambao kuanza shule ya msingi bado enzi za corona aliupiga mwingi ila sio kwasasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…