Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

Hebu sema kosa moja la Ummy hapa.
Bima ya Afya ya toto, kwanini kaifuta bila plan B.Kwanini anasema watoto wajiandikishie kupata Bima shule mpaka wafike 100 wakati anajua sera ya serikali ya Elimu mtoto anapawa ajiunge shule ya msingi akiwa na miaka 4,Je wale watoto wachanga mpaka miaka 3 wanatibiwa kwa mfumo upi?
Acheni kutetea Mawaziri wapumbavu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mlishika namba mbili kufanya nini?kwani nyungu haikusaidia kupambana na UVIKO-19?
Mpaka sasa chanjo yenu ya mchongo ya WHO imefikia wapi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Na Wazazi kulala Hospitali wawili kitanda kimoja ni uwongo?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Pia FYI hakuna Bima iliyofutwa ni utaratibu wa kuchangia umebadilika kutokana na ustahimilivu wa mfuko. Ni suala ya sayansi inayohitaji upewe shule na wataalam ndio utaelewa sio wapiga kelele wa mtandaoni
Utaalamu upi wa kuua watu,unafutaje Bima ambayo ipo inaendelea kufanya kazi bila kuwa na Plan B?
Unajua ni watoto wangapi wamekufa kwa kukosa matibabu kwa maamuzi ya ovyo ya Ummy na wajinga wenzie?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
People should stop that kind of nonsense za kuwachafua watu. To be fair Ummy Mwalimu ameitendea HAKI wizara ya Afya. Nina umri wa miaka 50. Sijawahiona waziri aliyefanya vzr wizara y Afya zaidi Ummy. Sifahamiani naye kwa namna yoyote ile. But that is the truth. Anajitahidi sana. Tumuhukumu mtu kwa facts, siyo majungu tu.
 
Hakuna hujuma yoyote

Ukweli ni kwamba huduma za afya ni mbovu sehemu nyingi na wananch wanalalamika

Ni vyema kama waziri na wizara kufanya kazi malalamiko ya wananchi kwa kuendelea kuboresha huduma

Haisaidii kutoka huko na kuja kuanzisha Uzi wa kuhujumiwa wakati kuna ukweli ndani yake

Tubadilike watanzania wewe kama hakijawahi kukutokea usitete ujinga haiwezekani watu mamilioni wakalalamika halafu mtu utoke huko kuja kutetea hapa hiyo sio sawa
 
Wewe nawe ni Mwehu,gari inayumba unasema siyo kosa la dereva bali ni la mmiliki wa gari!
Sasa kama changamoto siyo za Ummy,tuambie ni nani aliyekabidhiwa kuwa msimamizi mkuu wa sera za sekta ya Afya!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Dr Babutale je,kuna yule mwigizaji Chikoka mkuu wa mkoa sijui wapi huko.
Nashindwa kuelewa hatuna watu wa kupewa uongozi tunabandika bandika tu
Yule Chikoka dini ilimbeba.Kwanza Watanganyika wajue kwamba hakuna Mzanzibari anawapenda Watanganyika,wale watu ni wadini na wabaguzi sana na ndiyo maana ata sheria ya Ardhi kule visiwani, Watanganyika wametungiwa kuwa ni marufuku kumiliki Ardhi Zanzibar ila wao kumiliki Ardhi Tanganyika ruksa.Sasa Kuna watu wanamsifu Samia hapa wakati Mama anapeleka pesa kwao Zanzibar na wanaijenga Zanzibar kwa kasi kwelikweli,jiulize pesa wanatoa wapi wakati Bajeti yao kwa mwaka ni Bilioni 40 tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia yule Mkuu wa TISS enzi za JK Bwana Othman ndiyo anapenyeza watu wa Tanga kwao kupewa vyeo serikalini.Kiburi cha Ummy kina mizizi mirefu sana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Si kwa ubaya watu watanga 80per ya watu wa tanga huwa wana iq ndogo sana angalia makamba .mwana fa .huwa ni watu wa ushirikina na fitina
 
Mange sijui anatumika na nani aisee, ila waziri anajitahidi kujibu kila hoja inayoletwa kwake japo inakuja negative.
Sidhani kama Mange au MMM wa twitter wanatumika ila Mange alipotoa zile posts za matatizo kwenye hospitali ya temeke na buzuruga mwanza kama sikosei.

Wizara ya afya, hospitali na waziri Ummy mwenyewe walikana zile issue kuwepo na ushahidi waliotoa ulikuwa somehow staged.

Ummy alipokosea pia ni kutengeneza campaign Twitter lakini pia kuiweka ile vita personal kwa kuonesha mafanikio yake hivyo ni kama "anachafuliwa".

Kwa mtu yoyote ambaye anatumia hospitali za serikali na hata comments maelfu ya watu, walionesha zile posts za mange kuwa ni kweli. Ummy angeshughulikia hizo allegations kuliko kusema kuwa hali ipo perfect mahospitaliini ilhali watu tunajua si kweli.
 
Tatizo lililopo akitolewa atawekwa nani hiko chama kimeishiwa watu ndiyo maana wanajirudiarudia au wanabadilishwa tu kwa serikali hii hakuna waziri utasema ana nafuu wote wamechoka labda atafutwe mtu wa nje apewe ubunge wa viti maalumu ndiyo achaguliwe waziri
 
Kwa majungu na kuandika bila ustaha nawe ukiwa mwanamke kama ni kweli, basi ikos shida mahali either kwenye akili yako au malezi yako.
 
Kwa maoni yangu Waziri Ummy japo sio mhalisia katika sekta ya afya. yaani sio mtaalamu wa afya lakini amejitahidi sana kuielewa sekta hii. ameitendea haki kwa kadri ya kipaji alichonacho.
. Ummy kuongoza hii wizara kwa sasa amepwaya sana, tofauti na kipindi cha magu.

. Uongozi ni kipaji, ila niseme tu tabia ya kusomea kitu fulani alafu unateuliwa kisimamia kitu tofauti na ulicho somea, ni tatizo pia.
 
Nasikia yule Mkuu wa TISS enzi za JK Bwana Othman ndiyo anapenyeza watu wa Tanga kwao kupewa vyeo serikalini.Kiburi cha Ummy kina mizizi mirefu sana!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Si kwa ubaya watu watanga 80per ya watu wa tanga huwa wana iq ndogo sana angalia makamba .mwana fa .huwa ni watu wa ushirikina na fitina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…