Mwaka 2023 Waziri Ummy amepigwa attacks za kimyakimya sana

Nakubali mkuu.

Ubuyu hauna chama.
 
Afu hapa watu wakisema, eti Ummy anachafuliwa khaaah
 
Huyo Gwajima lipi la maana amefanya akiwa NKM Tamisemi, na alipokuwa Wizara ya Afya. Rekodi ya utendaji wa Ummy, takwimu zinajulikana na kutambulika na watu wote ndani ya Wizara, sekta na Wadau wa Maendeleo.

Acha uongo, Ummy ana takwimu gani?. Ufiasadi kwenye NHIF au hufuatiliagi ripoti ya CAG
 
Chai jaba ☕
 
Boraa umesema wee, hakuna waziri mwanamke atamfika Dorothy.
Bora Afya apewe Dorothy Gwajima.
 
Mawaziri wengi wa kike wanajitahidi sana tuache kuwazongazonga tunawaonea.Tatizo lipo kwa hizi ndume hazina lolote ziko pale kwa show off tu na maneno mengi kazi sifuri
 
Ummy si alianzia viti maalumu, akaja ukwaa wa jimbo mjini.
Uwaziri alipewa kwa takrima tyuu.
Namtaja tu Dorothy kama benchmark, kwa sababu alishatuonyesha
kiutendaji ni waziri anaehitajika afya kwa sasa.

Ila sidhani kama yeye mwenyewe anayo shida ya kwenda kwenye headache za afya wakati kwa sasa ana kazi stress free.
 
That is a mockery!?

If this is true then tuko pabaya sana
 
Mimi ni shahidi wa kuwa huyu Shangazi anajitahidi sana sana kwenye kazi zake, labda tu kuna watu wanampiga vita kwa mambo yao. Huyu Shangazi hanijui, simjui, ila mwaka jana alitusaidia sana mimi na familia yangu. Mama yangu alikuwa anashida ya figo, tukamtafuta, alihakikisha tunapata msaada wa kipekee sana. Na wala hatujui, maskini ya Mungu.

Huduma ya afya Tanzania ni pana sana kusema umbebeshe lawama Waziri. Hii Wizara inahitaji efforts za watu wengi hasa Rais mwenyewe. Huku panahitaji budget kubwa sana, ila na sisi nchi ni maskini, na bado vipaumbele vya serikali havieleweki (kwa muda mrefu hatujaweka afya kama kipaumbele). Yeye kama waziri mwenye dhamana, kazi anaifanya sana tu.
 

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwa kuwa wee ulimtafuta binafsi na aliwasaidia ndo umtetee? Wenzako wanapigania maslahi ya umma, sio mtu m1 m1.

Je watoto na wamama wanaokufa mahospitalini, ndugu zao wasemejee? Yaan kwakua aliwasaidia wee na mama ako ndo umtetee hivyo? Sasa ulipaswa umuambie aweke mpango madhubuti wa kuwasaidia wengine pasipo kufatwa yeye directly.
 

I wish Watanzania wasome haya..
 
Ni wewe mwenyewe, sioni mtu yeyote maana sisi wengine ndiyo kwanza tunakusikia wewe unaongea haya.
 
hivi ni kweli wajawazito wawili wakitoka kujifungua wana lala kwenye kitanda kimoja? Au zile picha wame edit? Maana bongo ni bora kupata uhakika kabla ya kuchangia mada
 
Mkisema Ummy anahujumiwa mnakosea. Mange hakuna pahala ameshambulia huduma za afya, ikiwemo wanaojifungua kulazwa chini. Mapungufu na dharura kama hizo za mgonjwa mmoja ama 2 kulazwa chini zinakubalika.

Lkn mbona Ummy anakanusha? Kwani angekiri kama wewe ulivyokiru hapa nani angeendelea kujadili hoja ya mapungufu ktk wizara hii?

Tatiza Ummy anataka kutuaminisha kwamba kinachopostiwa n waandishi wa habari ni uzushi. Mhuni tu huyu Ummy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…