kunena
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 506
- 719
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama ni mrembo si akasimamie miss Tanzania [emoji120]@afya na urembo wapi na wapi?mtu ashazoea kushinda anapaka Hina vidoleni na kucheza taarabu,na elimu,Tena sayansi wapi na wapi?
Ahhh atupishege,aende zake akacheze mdumange Tanga
Afya ni science,ni shule,ni performance,sio uganga Wala kupiga ramli[emoji120][emoji120][emoji2539]
Atupisheee
Apewe hata umatroni huko ikulu,siyo kucheza na afya za watanzania,inaumaa Sana kuongozwa na form foo felia aka vilaza[emoji120][emoji120][emoji120]
Anacheza na Afya za watanzania yeye ndio anatibu?