Mwaka 2025 umeisha tunaingia 2026, Utamkumbuka Samia kwa lipi?

Mnajifurahisha tu. Hakuna Mtanzania Anayeweza Kushitakiwa ICC kwa kuwa Tanzania Siyo Mwanachama wa ICC.
Kwa Hiyo Mnaotegemea ICC kuanzisha uchunguzi juu ya Samia imekula kwenu. Yaani Mlie tu.

Tanzania sio member wa ICC?
Kwanini unaamua kudanganya mchana kweupe mtandaoni wakati with one click unaweza kupata taarifa sahihi.
 
Mnajifurahisha tu. Hakuna Mtanzania Anayeweza Kushitakiwa ICC kwa kuwa Tanzania Siyo Mwanachama wa ICC.
Kwa Hiyo Mnaotegemea ICC kuanzisha uchunguzi juu ya Samia imekula kwenu. Yaani Mlie tu.
Pia aina ya kosa lililotokea hapa TZ lina hadhi ya kuundiwa tume, ingekuwa yametokea mauaji ya kimbari mpaka muda huu SSH angekuwa jela tayari.
 
2025 umekuwa ni mwaka wa Kihistoria. Habari za kisiwa cha amani zmekuwa ni ndoto, ukisema lolote baya kuhusu serikali basi story yako ndio imeisha. Taifa kugawanyika UDINI, CHUKI ZA KUENEZWA, kupungua kwa upendeleo.


R.IP MAGUFULI
 
Nitamkumbuka kwa kuyazima magenge ya wezi na wahalifu waliotaka kuipindua Serikali yake.
 
1. Vifo vya October 29,30, 31.
2. Ufisadi uliopindukia
3. Watoto wake kuwa part ya maamuzi ya serikali, hata kama si waajiriwa
4. Kuweka mkwe, mtoto kwenye cabinet ya mawaziri
5. Angela Kiziga, always around Rais wa nchi, na hana cheo chochote serikalini wala CCM!!
6. Kampeni za kijinga kuwahi kutokea, watu kupewa hela kuhudhuria kumsikiliza mgombea uRais
7. Matokeo ya uchaguzi ya ajabu, ya wizi wa kitotoooo: 98% kumchagua! Si mchezo. Wanaona Watanzania wajingaaa
8. Picha za Biggy wa Zimbabwe
9. Ubishi uliopitiliza, kutoambilika na kuona ni sifa nzuri. Kiongozi asiyesikiliza HAFAIII
10. Kutuchamba hadi kushika kiuno siku aliyoongea na wazee wa Dar es salaam..
11. Utekaji, kupotezwa watu, pengine na kuuawa kusiko na kikomo. RIP Mzee Kibao. Sijui hali za Polepole, Mdude, Soka, etc
 
Kuua
 
Murderer
 
Po
Pole sana
 
Kama aliyezuia mapinduzi ya Oct 29
 
Jean Pierre Bemba ni Genocide Gani alifanya? Mbona ICC walimdaka.

Former president wa Philippines alifanya mauaji Gani ya Kimbali?? Mbona ICC walipita nae.

So we una akiri kuliko

Intelwatch na Madrid Bar Association waliofungua kesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…