Mwaka jana nilitoa wazo la kuanza mchakato wa haraka sana wa kujenga refinery Tanga

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza

Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude oil refinery, natural gas refinery na petrochemical

Na kwa sababu tunaumeme wa magumashi basi tuanze uwekezaji wa kupelela bomba la gesi asilia mpaka Tanga ili gesi asilia itumike kupower hiyo mitambo mikubwa inayo-fanya kazi ya refinery
 
Hawa viongozi ni wajinga na wapumbavu , wasio na maono, kazi yao kubwa na juhudi kubwa ni kupambana na upinzani iwe chama au mtu binafsi mwenye mawazo ya kujenga ila tu yaingilie ulaji wao, na akili zao zimeishia huko.

Kujenga hio refinery ilipaswa ifanyike miaka 20 nyuma au miaka 15 nyuma huko, sasa katikati ya mzozo na gharama ya mafuta inapanda eti ndipo wanakumbuka kujenga refinery, naona ni ujinga tu, wala siwezi kuwasifu..
 
Swala sio kuwasifu kama nchi tunahitaji refinery
 
World Bank ni kikwazo kikubwa sana afrika juzi walimlazimisha dangote refinery kupunguza bei ya petro products
BAada ya anguko la kiuchumi wa TZ miaka ya 80, WB wakaipa TZ masharti ya mkopo , ikiwemo kuachana na refinery, kwamba serikali inatumia gharama kubwa kuendesha kiwanda,

Eti wanunue mafuta yaliosafishwa kuwa ndio vizur kiuchumi kuliko kuwa na kiwanda cha refinery.

Sasa hii ni Akili au matope
 
Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza

Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude oil refinery, natural gas refinery na petrochemical

Na kwa sababu tunaumeme wa magumashi basi tuanze uwekezaji wa kupelela bomba la gesi asilia mpaka Tanga ili gesi asilia itumike kupower hiyo mitambo mikubwa inayo-fanya kazi ya refinery

Umeandika mawazo ya msingi sana, lakini kwenye hizo point mbili ume-miss upande wa kiufundi na kiuchumi.
Kwanza, bomba la gesi kwenda Tanga “kupower refinery” halisimami kibiashara. Pipeline ya gesi ni mradi wa gharama kubwa sana na hujengwa pale tu unapokuwa na demand kubwa na ya kudumu (anchor loads nyingi) mfano power plants, viwanda vikubwa, fertilizer, nk. Refinery peke yake haiwezi kubeba mzigo huo. Kitaalamu, refineries nyingi duniani hazitegemei gas pipeline maalum; zinatumia refinery fuel gas wanayoizalisha wenyewe, pamoja na grid power au fuels nyingine. Kwa Tanzania, tayari kuna miundombinu ya gesi chini ya Tanzania Petroleum Development Corporation inayohudumia Dar es Salaam. Kujenga line mpya kwenda Tanga kwa sababu ya refinery pekee bila kuwa na industrial cluster ya ku-support demand hiyo, ni high CAPEX project isiyo bankable.

Pili, suala la “natural gas refinery” si sahihi kitaalamu. Hakuna kitu kinaitwa hivyo kwenye oil & gas industry. Gesi asilia hupitia gas processing (kuondoa impurities na kutenganisha LPG, condensate, nk), wakati crude oil hupitia refining (distillation, cracking, reforming). Hizi ni value chains mbili tofauti kabisa equipment, design, na economics zake ni tofauti. Ukiziunganisha kwa dhana hiyo, tayari unajenga mradi kwenye msingi usio sahihi.
 
Nilikushauri uwe unajishughulisha na kilimo cha mbogamboga uwani kwa shemeji yako ikukeep busy. Sasa naona umeanza tena kurudi jamvini.

adriz de mbusii
 
Umeandika mawazo ya msingi sana, lakini kwenye hizo point mbili ume-miss upande wa kiufundi na kiuchumi.
Kwanza, bomba la gesi kwenda Tanga “kupower refinery” halisimami kibiashara. Pipeline ya gesi ni mradi wa gharama kubwa sana na hujengwa pale tu unapokuwa na demand kubwa na ya kudumu (anchor loads nyingi) mfano power plants, viwanda vikubwa, fertilizer, nk. Refinery peke yake haiwezi kubeba mzigo huo. Kitaalamu, refineries nyingi duniani hazitegemei gas pipeline maalum; zinatumia refinery fuel gas wanayoizalisha wenyewe, pamoja na grid power au fuels nyingine. Kwa Tanzania, tayari kuna miundombinu ya gesi chini ya Tanzania Petroleum Development Corporation inayohudumia Dar es Salaam. Kujenga line mpya kwenda Tanga kwa sababu ya refinery pekee bila kuwa na industrial cluster ya ku-support demand hiyo, ni high CAPEX project isiyo bankable.

Pili, suala la “natural gas refinery” si sahihi kitaalamu. Hakuna kitu kinaitwa hivyo kwenye oil & gas industry. Gesi asilia hupitia gas processing (kuondoa impurities na kutenganisha LPG, condensate, nk), wakati crude oil hupitia refining (distillation, cracking, reforming). Hizi ni value chains mbili tofauti kabisa equipment, design, na economics zake ni tofauti. Ukiziunganisha kwa dhana hiyo, tayari unajenga mradi kwenye msingi usio sahihi.
Refinery ya dangote ya Nigeria inatumia gesi asilia sasa unachopinga nini

Umeme wa Tanzania hauko reliable kama kunajengwa refinery Tanga ni wazi option iliyopo ni kutumia gesi asilia sasa sijui unapinga nini

Anyway sikushangai kama ulishawahi kuja huku na kuwaambia watu wanaweza kumiliki crude oil refinery sikushangai
 
Back
Top Bottom