Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #21
Uwezo wako ni mdogo sanaDah. Jamaa nilijua ulishafariki na october 29
Uwezo wako ni mdogo sanaDah. Jamaa nilijua ulishafariki na october 29
Jf ya sasa watu hawatumii hata uwezo wao mdogo wa akili katika kuchangia madaUwezo wako ni mdogo sana
Rostam analijua hilo, ni part of the deal? Kama hajui atamfelisha Dangote!Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza
Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude oil refinery, natural gas refinery na petrochemical
Na kwa sababu tunaumeme wa magumashi basi tuanze uwekezaji wa kupelela bomba la gesi asilia mpaka Tanga ili gesi asilia itumike kupower hiyo mitambo mikubwa inayo-fanya kazi ya refinery
Hata kuanzisha uzi huku nimekuwa mzito sana sababu najua tu ntakua disappointedJf ya sasa watu hawatumii hata uwezo wao mdogo wa akili katika kuchangia mada
Refinery ya dangote ya Nigeria inatumia gesi asilia sasa unachopinga nini
Umeme wa Tanzania hauko reliable kama kunajengwa refinery Tanga ni wazi option iliyopo ni kutumia gesi asilia sasa sijui unapinga nini
Anyway sikushangai kama ulishawahi kuja huku na kuwaambia watu wanaweza kumiliki crude oil refinery sikushangai
Viwanda vya ujeruman vilikuwa vinatumia wet gas direct kwenye mashine zao baada ya Russia kukata supply leo hii ujeruman manufacturing sector imeyumba sanaNipo pamoja nawewe ila kuna mambo mawili tofauti unachanganya.
Kwanza, ni kweli refinery kama Dangote Refinery inatumia gesi asilia lakini si kwa maana ya kujenga bomba refu maalum ili ku-power refinery pekee. Wanachofanya kitaalamu ni kutumia integrated energy system: wanapata gas kutoka karibu (domestic supply), wanatumia pia refinery fuel gas (RFG) inayozalishwa ndani ya plant, na wana captive power generation. Hiyo ni tofauti kabisa na pendekezo la kujenga pipeline mpya ndefu kwenda Tanga kwa ajili ya refinery moja tu bila kuwa na industrial cluster inayohakikisha matumizi ya kudumu. Pipeline inajengwa pale ambapo kuna multi-user demand na economics zake zinalipa, si kwa consumer mmoja.
Pili, kuhusu umeme wa Tanzania kuwa unreliable hapo uko sahihi kwa kiasi fulani, ndiyo maana refineries nyingi duniani huwa na self-generation (captive power plants). Lakini hata hivyo, hiyo haimaanishi suluhisho pekee ni kujenga pipeline mpya ya gesi. Unaweza kutumia:
1. captive power (gas/diesel dual systems)
2. grid kama backup
3. au hata kutumia fuels zinazotoka ndani ya refinery yenyewe
Swali la msingi ni: je, kujenga pipeline mpya kwenda Tanga kwa ajili ya refinery pekee inalipa kiuchumi? Bila demand kubwa ya ziada (viwanda vingine vikubwa), jibu mara nyingi ni hapana.
Tatu, kwenye “natural gas refinery" ndiyo nilichopinga. Gesi haitumiki kwenye refinery kwa maana ya “kusafishwa kama crude oil”. Kitaalamu tunaita gas processing, si refinery. Hii si semantics, ni tofauti ya design, process units, na economics.
Kwa hiyo sipingi matumizi ya gesi ninaweka sawa application yake. Gesi ni option nzuri kwa energy ya refinery, lakini lazima itumike ndani ya mfumo wenye economic justification, si kwa assumption kwamba “tuna gesi basi tujenge pipeline”.
Na kuhusu kusema watu hawawezi kumiliki refinery hilo si sahihi. Dunia nzima private sector wanamiliki refineries. Tofauti ni kwamba wanatumia structure sahihi ya biashara, si assumptions.
Wewe huyo ndo wa kuwaona wenzio kama hawatumii akili kweli?Jf ya sasa watu hawatumii hata uwezo wao mdogo wa akili katika kuchangia mada
Viwanda vya ujeruman vilikuwa vinatumia wet gas direct kwenye mashine zao baada ya Russia kukata supply leo hii ujeruman manufacturing sector imeyumba sana
Wet natural gas kwa nchi kama Tanzania ambayo ina megawatts 4000 tu umeme ni vizuri tukatumia direct kwenye machine kama mbadala wa umeme sasa sijui unabisha nini kwa jambo ambalo nchi nyingine wanafanya
Kama hilo swala la refinery ni swala rahisi jiulize ni kwanini nchi kama Angola hawana hizo refinery ndogo ndogo
Kama Nigeria hizo refinery ndogo ndogo zilikuwa na faida kwenye nchi kwanini anasifiwa dangote na refinery yake kubwa na sio hizo ndogo
Ukishajenga pipeline ndo demand itakuja unatakiwa utengeneze mazingira ya demandNa hapa pia umechanganya mifumo miwili tofauti na ndiyo maana hoja inaonekana sawa juu juu lakini si sahihi kiufundi.
Kwanza, Germany hawakuwa wanatumia wet natural gas direct kwenye machines kama unavyosema. Walikuwa wanatumia gesi (baada ya kusafishwa processed gas) kwa:
1. power generation (combined cycle plants),
2. industrial heating/boilers
3. na sectors maalum kama chemicals (feedstock)
Baada ya supply ya Russia kupungua, kilichoyumba si kwa sababu walikuwa wanatumia wet gas direct, bali ni kwa sababu ya energy price shock + supply disruption. Hiyo ni tofauti kabisa na concept unayoizungumza.
Pili, “wet gas” kitaalamu siyo gas unayoweza kuipeleka moja kwa moja kwenye mashine. Ina:
1. maji (water vapor)
2. heavy hydrocarbons (condensates)
3. impurities kama CO₂, H₂S
Hii lazima ipitie gas processing (dehydration, separation, treatment) kabla ya kutumika. Ukijaribu kuitumia direct:
1. unaharibu equipment
2. unapata corrosion
3. unakuwa na operational instability
Ndiyo maana hakuna nchi serious inayotumia “wet gas direct kwenye machines”.
Tatu, kuhusu Tanzania kuwa na 4000 MW na kutumia gesi kama mbadala wa umeme hapo kuna ukweli nusu. Gesi ni nzuri sana kwa:
1. power generation (gas turbines)
2. industrial heat
Lakini si replacement ya mfumo mzima wa umeme kwa “kuunganisha gas direct kwenye kila machine”. Industry inahitaji:
1. stable voltage
2. control systems
3. automation
Hivyo hata ukitumia gas, mwisho wa siku utaibadilisha kuwa electricity au controlled thermal energy, si kupeleka raw gas kwenye mashine.
Nne, kurudi kwenye refinery: kutumia gas kama energy source (fuel) ni sahihi hilo halipingwi. Ndiyo maana hata Dangote Refinery inatumia gas. Lakini hilo ni tofauti na:
1. kujenga pipeline ndefu bila demand ya kutosha
2. au kutumia “wet gas direct” bila processing
Kwa kifupi, gesi ni resource muhimu sana lakini matumizi yake lazima yaendane na engineering standards na economics, si kuchukua mfano wa juu juu bila kuelewa system nzima.Aya
Ukishajenga pipeline ndo demand itakuja unatakiwa utengeneze mazingira ya demand
Pale kwenye wet nilikuwa namaanisha methane ambayo haijatenganishwa na propane, butane na ethane
Umepinga hoja yangu ila hapa umeikubali haya ndo maajabu
👇👇👇👇👇
Baada ya supply ya Russia kupungua, kilichoyumba si kwa sababu walikuwa wanatumia wet gas direct, bali ni kwa sababu ya energy price shock + supply disruption. Hiyo ni tofauti kabisa na concept unayoizungumza
I'm among Jf great thinker of all timeWewe huyo ndo wa kuwaona wenzio kama hawatumii akili kweli?
Tatizo lako propaganda za wazungu zimekuharibu sanaHapa tuna vitu viwili tunajaribu kuviangalia, policy idea na engineering reality kwa sababu unachosema kina ukweli, lakini execution yake ndiyo tatizo.
Kwanza, hoja yako ya “ukijenga pipeline demand itakuja” ni nusu sahihi, nusu hatari. Ni kweli infrastructure inaweza kuchochea demand (induced demand), lakini kwenye miradi ya energy hasa gas pipelines, huwezi kuanza na supply tu ukitegemea demand ije baadaye. Hii si barabara hii ni mradi wa mabilioni unaotegemea:
1. long-term contracts (take-or-pay agreements)
2. guaranteed industrial users
3. tariff structure inayoweza kulipa deni la mradi
Ndiyo maana pipelines nyingi duniani hujengwa baada ya kufunga wateja wakubwa (anchor customers), si kabla. Ukifanya kinyume chake, unapata stranded asset.
Pili, kuhusu “wet gas” uliyo-clarify (methane + propane + butane + ethane): bado hiyo si gas inayotumika direct. Hiyo bado ni unprocessed gas stream. Kitaalamu lazima ipitie:
1. separation (kuondoa NGLs – propane, butane, ethane)
2. dehydration
3. treatment
Sababu ni moja: kila component ina matumizi na specifications tofauti.
1. Methane ambayo ndio gesi asilia (natural gas)→ fuel/power
2. Propane/Butane → LPG
3. Ethane → petrochemicals
Ukizitumia pamoja bila separation matokeo yake ni kama ifuatavyo:
1. unaharibu combustion efficiency
2. unapata unstable flame characteristics
3. unaharibu equipment design specs
Hakuna refinery serious au kiwanda kikubwa kinachotumia hiyo mix direct bila processing.
Tatu, kuhusu Germany hapa hujanielewa vizuri. Nilichosema na bado nasimamia ni hiki, tatizo lao halikuwa “technology ya kutumia gas”, bali lilikuwa ni price na supply shock.
Na hii ndiyo point muhimu sana hata kama una gas infrastructure, bila stable supply na affordable pricing viwanda vinayumba.
Hivyo mfano wa Germany hau-support hoja ya kutumia “wet gas direct” unaonyesha umuhimu wa secure na affordable energy system, si shortcut ya kutumia raw gas.
Nne, turudi kwenye refinery ya Tanga:
Ndiyo, kutumia gas kama energy source ni sahihi lakini si lazima ujenge pipeline mpya bila demand ya kutosha. Na si sahihi kutumia unprocessed gas direct. Lazima uwe na integrated energy design (captive power + processed gas + backup systems.
Kwa kifupi, unachosema kina vision nzuri (kuongeza matumizi ya gas), lakini unapokosea ni kwenye: process design + project economics + sequencing
Na kwenye miradi ya oil & gas, hapo ndipo miradi mingi huanguka sio kwenye idea, bali kwenye execution.
ExactlyUjenzi huu ulitakiwa uanze swakati ule ujenzi wa bomba unaanza ili bomba linaanza kufanya kazi na refinery nayo inaanza kazi
Hilo wazo iliishia wapi?Mwaka jana na hata mwaka huu baada ya straight of hormuz kufungwa nilitoa maoni yangu binafsi, Tuanze mchakato wa crude oil refinery haraka sana nashukuru dangote alikuwa na mawazo kama yangu na mchakato utaanza
Kwanza ijengwe integrated refinery kama ile ya gujarati ambayo itakuwa na crude oil refinery, natural gas refinery na petrochemical
Na kwa sababu tunaumeme wa magumashi basi tuanze uwekezaji wa kupelela bomba la gesi asilia mpaka Tanga ili gesi asilia itumike kupower hiyo mitambo mikubwa inayo-fanya kazi ya refinery
Dangote analifanyia kaziHilo wazo iliishia wapi?
😂Dangote analifanyia kazi
Griti sinka 🤣🤣🤣🤣I'm among Jf great thinker of all time