Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Magufuli alikuwa kiboko ya wezi na wabadhirifu, aliwanyoosha hasa. Hawana hamu naye.
 
Swali kabla hujaswaliwa... Maana yake utaswaliwa, au haujui hata ulichokiandika!? 😁
Maandiko yanasema baada ya kifo ni hukumu, sala za wanadamu ni za kujifariji na kuonesha huyu marehemu tunamtakia mema lakini hazina mashiko mbele ya Mungu. Ndio maana ya swali kabla hujaswaliwa kwasababu tuna uhakika na hilo la ww kusali mwenyewe lakini la sisi kukusalia ni itifaki tu
 
Hakuna Moto, hakuna mbingu kama eneo kijiografia.
 
Hukumu ni nini?
 
Alifanya mengi ya kukumbukwa, mazuri na mabaya, lkn alikuwa Muongo pia
Kama kupambana na mafisadi, kuleta nidhamu katika ofisi za umma, kuleta mendeleo, n.k. ni uongo basi tunahitaji Rais muongo zaidi ya Magufuli.
 
Wewe naona ni bare headed person, hujaelewa kabisa ,nimezungumzia gawio lililonesha mashirika yalipata faida mpaka kutoa GAWIO kwa serikali, kitu ambacho kulikuwa ni igizo COMEDY ya MKOJANI.

Nimeamua Kukujibu ujinga ulioandika kwani unapoyosha fact niliyoweka hapo.

Naona ,you have very serious problem on perceiving REALITY, you have also lak of PARTICULARLITY AND OBJECTIVITY.

Nenda Chato UMKAMFUFUE....😂😁😂🤣🤣🤣
 
Niambie KUBWA Jinga, lets Facts, inaoneka hukuona riport ya CAG.

Hongera kwa kuchagua UJINGA....🤣🤣🤣🤣
 
Umeokoka halafu kesho unazini, keshokutwa unaiba!
kwa hiyo unataka kumaanisha nini? kuokoka au uwepo wa neema sio tiketi ya kufanya dhambi. tunatakiwa kutubu tukimaanisha kuacha kabisa na kuikimbia dhambi. dhambi zinatutenganisha na uso wa Mungu. lakini, kama watoto wa Mungu (wote waliompokea.....) tukifanya dhambi kwa bahati mbaya tunayo nafasi kutubu kwasababu tunaye mwombezi kwa baba, Yesu Kristo. shida ni wale ambao hawajajikabidhi kwa Yesu, wanaabudu dini, wakifanya dhambi hawana mwombezi. ndio maana tunasema, okokeni muwepo kwenye mikono salama ya Mungu, ninyi hamtaki, sasa mnakosa mwombezi hadi mnaomba kwa maria.

Yoh 2:1-6 SUV​

Watoto wangu wadogo, nawaandikia haya ili kwamba msitende dhambi. Na kama mtu akitenda dhambi tunaye Mwombezi kwa Baba, Yesu Kristo mwenye haki, naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Na katika hili twajua ya kuwa tumemjua yeye, ikiwa tunashika amri zake. Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni mwongo, wala kweli haimo ndani yake. Lakini yeye alishikaye neno lake, katika huyo upendo wa Mungu umekamilika kweli kweli. Katika hili twajua ya kuwa tumo ndani yake. Yeye asemaye ya kuwa anakaa ndani yake, imempasa kuenenda mwenyewe vile vile kama yeye alivyoenenda.
 
Hata huko itafanyika.

Hii misa itafanyika sehemu nyingi Tanzania.
Mlizimia mwenge Chattle siku ya kumbuziki ya kifo cha Mwl .Nyerere kwanini misa kitaifa msifanyie chattle huko?

Mmemsaliti dikteta aliyepeleka hadi route ya ATCL chattle.
 
Wewe kama nani? Sema wewe na matako yako ndio ulikuwa humkubali Magufuli acha kuwasemea Watanzania wengine.
Hahahaha ni jibu zuri sana kwake huyo pimbi! Ni vijana.waliojazana humu na ID zaidi ya moja kazi yao kumtukana Magufuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…