Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Kuna kipindi Yesu alikuwa anasali mlimani kabla ya mateso yake, according to the Bible, Musa, Elijah walimtokea, na Biblia inasema Musa alipanda mlimani akafa hadi mwili wake shetani alitaka kuugombania akakemewa, swali langu liko hapa, if what you're saying is true ukifa umekufa, ilikuwaje Musa alimtokea Yesu? Na hamna sehemu inaonyesha Musa alifufuliwa?
 
Amwaminiye Yesu yeye hatakufa daima

Kama wafu hawajui lolote Mbona mlimani Musa alitokea.

Kama wafu hawajui lolote mbona Yesu alishuka kuzimu kuwahubiria hao watu
 
Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi ya JPM. Mgeni Rasmi anaweza kuwa RJK.​

Kumbukumbu la Torati 18
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁰ Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
¹¹ wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
 
Wanaojiita walokole Wana tatizo la kifikiri ,Sasa hapo umeandika kuwa na Wala asiwepo anayeomba wafu,lakini hukufikiri kuwa Kuna kuomba na kuombea,wachungaji wenu wamekalia kula sadaka tu washaulini wajenge na shule basi angalau msome muelewe Mambo
 
Ecclesiastes 9:5. Unamwamini Yesu ukiwa hai. Unamkiri na kuishi maisha ya kikristo. Siyo uuwe watu ukiwa hai eti wajomba zako wakuombee baada ya kufa halafu ndio upate toba na kuurithi uzima wa milele... Hayo ni mafundisho ya kishetani.

Kama majirani/ndugu wanaweza kukuombea na kubadilisha maovu yako uliotenda kabla ya kifo, kuna haja gani ya Mungu kuhitaji toba zetu wakati tukiwa hai. Kila mtu angekuwa muuaji/mzinzi/mwizi nk kwa kutegemea kurithi uzima wa milele baada ya kifo kwa maombi ya ndugu zake waliowaacha hai. Simple logic...
Amwaminiye Yesu yeye hatakufa daima

Kama wafu hawajui lolote Mbona mlimani Musa alitokea.

Kama wafu hawajui lolote mbona Yesu alishuka kuzimu kuwahubiria hao watu
 
Ecclesiastes 9:5. Unamwamini Yesu ukiwa hai. Unamkiri na kuishi maisha ya kikristo. Siyo uuwe watu ukiwa hai eti wajomba zako wakuombee baada ya kufa halafu ndio upate toba na kuurithi uzima wa milele... Hayo ni mafundisho ya kishetani.
Basi Mafundisho ya shetani alianza nayo Petro aliyetuambia kuwa Yesu alishuka kuwahubiria hao huko waliko kifungoni
 
Basi kulikuwa na haja gani Yesu kwenda kuwahubiria walioko kuzimu ??
 
Acha blah, blah... weka maandiko hapa. Nimekwambia wafu ni kama mawe tu (Ecclesiastes 9:5).
 
Mwizi na muuaji wanaombewa tangu lini

Alietaka kumuua mpaka leo bado anadunda na passport mpya kapewa na mafao yake na stahiki zake za ubunge kapata

Pumbavu kabisa nyie mnamuombea huku Duniani mwenzenu anachomwa moto mbinguni shubaaamit zake
Hata wewe ukifa tunakuombea boss.
 
Apumzike kwa amani wapi wakati aliua na kupiga watu risasi hadharani?? Unampangia mungu pa kumweka muuaji? Kwani wewe hupajui alipo??
Tuwekee uthibitisho wa hayo mauaji.
 
Huu ndio uthibitisho wa mauaji aliyoyafanya?
 
Narudia:

Kama majirani/ndugu wanaweza kukuombea na kubadilisha maovu yako uliotenda kabla ya kifo, kuna haja gani ya Mungu kuhitaji toba zetu wakati tukiwa hai. Kila mtu angekuwa muuaji/mzinzi/mwizi nk kwa kutegemea kurithi uzima wa milele baada ya kifo kwa maombi ya ndugu zake waliowaacha hai. Simple logic...
Basi Mafundisho ya shetani alianza nayo Petro aliyetuambia kuwa Yesu alishuka kuwahubiria hao huko waliko kifungoni
 
Hawana walijualo hao vibaraka wa mabeberu na mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…