Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

Amwaminiye Yesu yeye hatakufa daima

Kama wafu hawajui lolote Mbona mlimani Musa alitokea.

Kama wafu hawajui lolote mbona Yesu alishuka kuzimu kuwahubiria hao watu
Akikujibu sahihi ni-tag mkuu.
 
Wewe akili yako iko kwa huyo marehemu wa chattle tu!! Mi naongelea biblia. Biblia inasema wafu wote ni kama mawe tu (Mhubiri 9:5). Huko aliko ni jiwe la kweli kweli. Kuwaombea wafu ni kupoteza muda. Wanatakiwa wamkiri Yesu wakati wakiwa hai. Wakifa, hesabu yao imefungwa.
Huu ndio uthibitisho wa mauaji aliyoyafanya?
 
Kumbukumbu la Torati 18
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁰ Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
¹¹ wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Hebu tupe tafsiri ya kuomba watu kwa mujibu wa hiyo aya halafu uhusianishe na maombi ya Wakatoliki Jumapili ijayo.
 
Wanaojiita walokole Wana tatizo la kifikiri ,Sasa hapo umeandika kuwa na Wala asiwepo anayeomba wafu,lakini hukufikiri kuwa Kuna kuomba na kuombea,wachungaji wenu wamekalia kula sadaka tu washaulini wajenge na shule basi angalau msome muelewe Mambo
Shida wanakariri, hawana uelewa wowote.

Hawajui hata tofauti ya kuomba na kuombewa.

Hawajui hata Yesu alishasema amuaminiye yeye hatakufa bali ataishi milele.
 
Ecclesiastes 9:5. Unamwamini Yesu ukiwa hai. Unamkiri na kuishi maisha ya kikristo. Siyo uuwe watu ukiwa hai eti wajomba zako wakuombee baada ya kufa halafu ndio upate toba na kuurithi uzima wa milele... Hayo ni mafundisho ya kishetani.

Kama majirani/ndugu wanaweza kukuombea na kubadilisha maovu yako uliotenda kabla ya kifo, kuna haja gani ya Mungu kuhitaji toba zetu wakati tukiwa hai. Kila mtu angekuwa muuaji/mzinzi/mwizi nk kwa kutegemea kurithi uzima wa milele baada ya kifo kwa maombi ya ndugu zake waliowaacha hai. Simple logic...
Tupe uthibitisho wa mauaji unayotuhumu.
 
Loh!! Kwani wewe unafikiri kuzimu ni nyumba fulani hivi ina kibao chenye maneno "KUZIMU"? Kuna watu ambao mpaka dakika hii wako kuzimu japo wanaishi. Hao ni watu waliovhagua upande wa shetani km wazinzi, wauaji, wezi, waseng'enyaji, nk. Wako kuzimu. Wanahitaji kuhubiriwa ili waingie katika uzima wa milele.
Basi kulikuwa na haja gani Yesu kwenda kuwahubiria walioko kuzimu ??
 
Wewe akili yako iko kwa huyo marehemu wa chattle tu!! Mi naongelea biblia. Biblia inasema wafu wote ni kama mawe tu (Mhubiri 9:5). Huko aliko ni jiwe la kweli kweli. Kuwaombea wafu ni kupoteza muda. Wanatakiwa wamkiri Yesu wakati wakiwa hai. Wakifa, hesabu yao imefungwa.
Tupe uthibitisho wa mauaji unayotuhumu.
 
Narudia:

Kama majirani/ndugu wanaweza kukuombea na kubadilisha maovu yako uliotenda kabla ya kifo, kuna haja gani ya Mungu kuhitaji toba zetu wakati tukiwa hai. Kila mtu angekuwa muuaji/mzinzi/mwizi nk kwa kutegemea kurithi uzima wa milele baada ya kifo kwa maombi ya ndugu zake waliowaacha hai. Simple logic...
Huelewi hata kiini cha wokovu alioleta Yesu Msalabani... Go learn it first and foremost.
 
Wewe akili yako iko kwa huyo marehemu wa chattle tu!! Mi naongelea biblia. Biblia inasema wafu wote ni kama mawe tu (Mhubiri 9:5). Huko aliko ni jiwe la kweli kweli. Kuwaombea wafu ni kupoteza muda. Wanatakiwa wamkiri Yesu wakati wakiwa hai. Wakifa, hesabu yao imefungwa.
Ulisema Magufuli muuaji, nikakuambia uthibitishe ndio umekuja na hizi ngojera. Huu ndio uthibitisho?
 
Hebu tupe tafsiri ya kuomba watu kwa mujibu wa hiyo aya halafu uhusianishe na maombi ya Wakatoliki Jumapili ijayo.
Hakuna link Kati ya wafu na waliohai.

“Wanawe hufikilia heshima, wala yeye hajui; Kisha wao huaibishwa, lakini yeye hana habari zao.

— Ayubu 14:21
 
Uongo ni dhambi. Acha kuniwekea maneno mdomoni. Nimesema wafu ni kama mawe. Hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Kuwaombea ni kupoteza muda. Usitegemee mtu yeyote (mimi, wewe, Magufuli, rafiki...) ambaye amekufa akiwa upande wa shetani (muuaji, mzinzi, mwizi, mchonganishi...) aingie uzima wa milele kwa maombi ya majirani ama ndugu baada ya kufa katika ushetani wake. Tutubu dhambi zetu tukiwa hai na tuyaishi maisha ya Kristo wakati bado tunapumua. Baada ya kifo, ndio basi. Tufe tukiwa upande wa Mungu. Kuombewa tukiwa kaburini hakubadilishi lolote. Kama hauelewi na hili basi, usivuke barabara bila msaada wa mtu.
Ulisema Magufuli muuaji, nikakuambia uthibitishe ndio umekuja na hizi ngojera. Huu ndio uthibitisho?
 
Tuwekee uthibitisho wa hayo mauaji.
Ben Sanane
Anzory Gwanda
Akwilin
Mauaji ya MKIRU ( Hujawahi kufika wewe)
Kufungwa kwa kabendera, peter magondi na wenzake.
Kushambuliwa kwa tundu lisu
Na mambo yote mabaya yaliyotokea wakati Mfa kibudu akiwa madarakani.
Alitakiwa kuwa the Hague cyo peponi
Mshamba yule
Asante mungu kwa kila jambo
 
Uongo ni dhambi. Acha kuniwekea maneno mdomoni. Nimesema wafu ni kama mawe. Hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Kuwaombea ni kupoteza muda. Usitegemee mtu yeyote (mimi, wewe, Magufuli, rafiki...) ambaye amekufa akiwa upande wa shetani (muuaji, mzinzi, mwizi, mchonganishi...) aingie uzima wa milele kwa maombi ya majirani ama ndugu baada ya kufa katika ushetani wake. Tutubu dhambi zetu tukiwa hai na tuyaishi maisha ya Kristo wakati bado tunapumua. Baada ya kifo, ndio basi. Tufe tukiwa upande wa Mungu. Kuombewa tukiwa kaburini hakubadilishi lolote. Kama hauelewi na hili basi, usivuke barabara bila msaada wa mtu.
Huruma ya Mungu haina mipaka,

Kama binadamu alibatizwa na alimkiri Yesu na alimini katika kristo

Lakini yeye alikuwa binadamu, hakuwa mkamilifu na kuna makosa kwanamna moja au nyinge aliyatenda hivyo kazi sisi ni kumwombea ili aweze kuona uso wa Mungu
 
Magufuli ni muuaji hastahili chochote zaidi ya adhabu kali toka kwa MUNGU. mnaoamini atakuwa peponi mnapoteza muda.
Yule alipaswa achomwe hapahapa kila mtu aone
 
Nasisitiza, wafu hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Usiwahubirie ama kuwaombea wafu. Elekeza nguvu zako kwa walio hai. Walio hai wanasikia, wanaweza kutubu, kuyaishi maisha ya Kristo kabla ya kufa na kuurithi uzima wa milele siku Yesu akija mara ya pili. Usipoteze muda wako na wafu.
Ajibu wapi yuko na kifungu chake kile kile
 
Nasisitiza, wafu hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Usiwahubirie ama kuwaombea wafu. Elekeza nguvu zako kwa walio hai. Walio hai wanasikia, wanaweza kutubu, kuyaishi maisha ya Kristo kabla ya kufa na kuurithi uzima wa milele siku Yesu akija mara ya pili. Usipoteze muda wako na wafu.
Kama wewe unaamini hivyo basi sio mkristo

Yn 11:25-26 SUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
 
Back
Top Bottom