Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio uthibitisho wa mauaji aliyoyafanya?
Hebu tupe tafsiri ya kuomba watu kwa mujibu wa hiyo aya halafu uhusianishe na maombi ya Wakatoliki Jumapili ijayo.Kumbukumbu la Torati 18
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁰ Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
¹¹ wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Shida wanakariri, hawana uelewa wowote.Wanaojiita walokole Wana tatizo la kifikiri ,Sasa hapo umeandika kuwa na Wala asiwepo anayeomba wafu,lakini hukufikiri kuwa Kuna kuomba na kuombea,wachungaji wenu wamekalia kula sadaka tu washaulini wajenge na shule basi angalau msome muelewe Mambo
Tupe uthibitisho wa mauaji unayotuhumu.Ecclesiastes 9:5. Unamwamini Yesu ukiwa hai. Unamkiri na kuishi maisha ya kikristo. Siyo uuwe watu ukiwa hai eti wajomba zako wakuombee baada ya kufa halafu ndio upate toba na kuurithi uzima wa milele... Hayo ni mafundisho ya kishetani.
Kama majirani/ndugu wanaweza kukuombea na kubadilisha maovu yako uliotenda kabla ya kifo, kuna haja gani ya Mungu kuhitaji toba zetu wakati tukiwa hai. Kila mtu angekuwa muuaji/mzinzi/mwizi nk kwa kutegemea kurithi uzima wa milele baada ya kifo kwa maombi ya ndugu zake waliowaacha hai. Simple logic...
Basi kulikuwa na haja gani Yesu kwenda kuwahubiria walioko kuzimu ??
Tupe uthibitisho wa mauaji unayotuhumu.
Huelewi hata kiini cha wokovu alioleta Yesu Msalabani... Go learn it first and foremost.Narudia:
Kama majirani/ndugu wanaweza kukuombea na kubadilisha maovu yako uliotenda kabla ya kifo, kuna haja gani ya Mungu kuhitaji toba zetu wakati tukiwa hai. Kila mtu angekuwa muuaji/mzinzi/mwizi nk kwa kutegemea kurithi uzima wa milele baada ya kifo kwa maombi ya ndugu zake waliowaacha hai. Simple logic...
Ulisema Magufuli muuaji, nikakuambia uthibitishe ndio umekuja na hizi ngojera. Huu ndio uthibitisho?Wewe akili yako iko kwa huyo marehemu wa chattle tu!! Mi naongelea biblia. Biblia inasema wafu wote ni kama mawe tu (Mhubiri 9:5). Huko aliko ni jiwe la kweli kweli. Kuwaombea wafu ni kupoteza muda. Wanatakiwa wamkiri Yesu wakati wakiwa hai. Wakifa, hesabu yao imefungwa.
Huelewi hata kiini cha wokovu alioleta Yesu Msalabani... Go learn it first and foremost.
Hakuna link Kati ya wafu na waliohai.Hebu tupe tafsiri ya kuomba watu kwa mujibu wa hiyo aya halafu uhusianishe na maombi ya Wakatoliki Jumapili ijayo.
Ulisema Magufuli muuaji, nikakuambia uthibitishe ndio umekuja na hizi ngojera. Huu ndio uthibitisho?
Ajibu wapi yuko na kifungu chake kile kileAkikujibu sahihi ni-tag mkuu.
Ben SananeTuwekee uthibitisho wa hayo mauaji.
Huruma ya Mungu haina mipaka,Uongo ni dhambi. Acha kuniwekea maneno mdomoni. Nimesema wafu ni kama mawe. Hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Kuwaombea ni kupoteza muda. Usitegemee mtu yeyote (mimi, wewe, Magufuli, rafiki...) ambaye amekufa akiwa upande wa shetani (muuaji, mzinzi, mwizi, mchonganishi...) aingie uzima wa milele kwa maombi ya majirani ama ndugu baada ya kufa katika ushetani wake. Tutubu dhambi zetu tukiwa hai na tuyaishi maisha ya Kristo wakati bado tunapumua. Baada ya kifo, ndio basi. Tufe tukiwa upande wa Mungu. Kuombewa tukiwa kaburini hakubadilishi lolote. Kama hauelewi na hili basi, usivuke barabara bila msaada wa mtu.
Hujazuiwa kama alikuwa mkristo mkatoliki unaweza agiza misaUnafiki ulioje huu?
Ni lini watamuombea Ben Saanane
Au marehemu Mawazo
Au binti Akwilina?
Kanisa la kinafiki kabisa hili bila shaka
Ajibu wapi yuko na kifungu chake kile kile
Kama wewe unaamini hivyo basi sio mkristoNasisitiza, wafu hawasikii lolote (Mhubiri 9:5). Usiwahubirie ama kuwaombea wafu. Elekeza nguvu zako kwa walio hai. Walio hai wanasikia, wanaweza kutubu, kuyaishi maisha ya Kristo kabla ya kufa na kuurithi uzima wa milele siku Yesu akija mara ya pili. Usipoteze muda wako na wafu.