Haha... Wanatapatapa tu.hizo ni opinion zao(mawazo yao) ukiwaomba uthibitsho mpaka yesu anarudi hawatakupatia.
Kwa mujibu wa mafundisho ya imani ipi?Japokua nampenda Magufuli ila ibada za kuwaombea wafu hapana, ni machukizo mbele za Mungu na hayo maombi yenu Mungu hasikii. Baada ya kifo ni hukumu, kama alimaliza vyema na Bwana basi yupo salama, kama hakumaliza vyema na Bwana basi asubiri hukumu
Usafi wa kuua, kuteka na extortions?Unasafishaje kitu ambacho ni kisafi tayari!!?
Wewe ni nani? Asiyasikie.Razaro aliombea na ndugu zake kwa yesu kuwa rafiki yake amekufa na mwisho Yesu akawaambia msilie Razoro ni mzima akafufuliwa.Bibilia ni maandiko ya Mungu yanahitaji Roho mtakatifu kujuwa maandiko ukisoma kama kitabu cha hadithi utaambukaJapokua nampenda Magufuli ila ibada za kuwaombea wafu hapana, ni machukizo mbele za Mungu na hayo maombi yenu Mungu hasikii. Baada ya kifo ni hukumu, kama alimaliza vyema na Bwana basi yupo salama, kama hakumaliza vyema na Bwana basi asubiri hukumu
Sasa kama wewe siyo sehemu ya hizo mamlaka zinazothibitisha umeujuaje ukweli? Na kama unaujua ukweli si uweke uthibitisho hapa? Unaogopa nini wakati unatumia anonymous ID?
Bila uthibitisho zinabaki kuwa hearsay na speculations tu. Keep 'em to yourself. Magufuli remains our all time greatest president.Kwani kujua ukweli lazima niwe kwenye hizo mamlaka.? Nikuwekee ww kama nani. Ni hivi, dhalimu ndio muhusika, hutaki jinyonge, ni imeisha hiyo.
Bila uthibitisho zinabaki kuwa hearsay na speculations tu. Keep 'em to yourself. Magufuli remains our all time greatest president.
Just a piece of advise: go see a psychologist ASAP before your condition worsens, it's randomly deteriorating.
Pole.
Umeshaandika hapo, TUHUMA. Hivyo basi zitaendelea kuwa tuhuma mpaka pale serikali itakapokubali uchunguzi huru, polisi wa Bongo walikuwa part and parcel ya uzandiki wa Jiwe hivyo hawafai kupewa jukumu la upelelezi. Uchunguzi huru pia ndiyo jambo pekee liweza kumsafisha kwetu sisi due to circumstantial evidences zinazosababisha tunaoamini mabaya yote yaliyotokea wakati wa utawala wake yeye ndiyo alikuwa akiya-initiate.Thibitisha tuhuma zako.
Wakati wake umefika na mwendo ameumaliza kwa kutekekeza kazi zake vizuri 90℅ with grade A.bado wewe hujuwi saa wala wakati na utaondokaje?.utaondoka ukiwa umeachama mdomo ishara kwamba uendako sio kuzuri umeshangaaaTunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika, fullstop.
Hakuna niliposema naujua ukweli. Tunachojua ni serikali imegoma kufanya uchunguzi kwenye haya mambo kwa sababu zao. Tutashukuru kama Maza ataamulu uchunguzi ili ukweli ujulikane.Nyie mliunda tume gani mpaka mkaugundua huo ukweli?
He who alleges must prove.Umeshaandika hapo, TUHUMA. Hivyo basi zitaendelea kuwa tuhuma mpaka pale serikali itakapokubali uchunguzi huru, polisi wa Bongo walikuwa part and parcel ya uzandiki wa Jiwe hivyo hawafai kupewa jukumu la upelelezi. Uchunguzi huru pia ndiyo jambo pekee liweza kumsafisha kwetu sisi due to circumstantial evidences zinazosababisha tunaoamini mabaya yote yaliyotokea wakati wa utawala wake yeye ndiyo alikuwa akiya-initiate.
Kwahiyo mnatuhumu bila uthibitisho?Hakuna niliposema naujua ukweli. Tunachojua ni serikali imegoma kufanya uchunguzi kwenye haya mambo kwa sababu zao. Tutashukuru kama Maza ataamulu uchunguzi ili ukweli ujulikane.