Kufa siyo kitu cha hovyo, kila nafsi itaonja umauti after all.Jamaa lilikuwa la hovyo sana, ndiyo maana likaweka rekodi ya hovyo ya Rais kufia madarakani
Yesu (ambaye ni Mungu nafsi ya pili) alimuombea Lazaro.kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
Yesu hakumwombea Lazaro, alimfufua. hakuna sehemu hata moja kwenye Biblia Yesu anaombea mfu yeyote, wala mitume hawajawahi kufanya hivyo. ni kanisa katoliki tu ndio linafanya hivyo.Yesu (ambaye ni Mungu nafsi ya pili) alimuombea Lazaro.
Hiyo ni imani yako, kama unafikiri unajua sana fungua uzi juu ya ibada ya wafu tujadili, ikiwezekana unda tume! Nina hakika hata ibada ya wafu maana yake hujui!kuombea/ibaza za wafu ni chukizo kwa Mungu. baada ya kifo ni hukumu, hata uombe namna gani mtu aliyekufa kama hakutengeneza maisha yake kabla ya kufa huwezi kumtakasa. acheni kupoteza watu, acheni ibada za wafu. kanisa katoliki lina imani ya kupeleka watu motoni moja kwa moja.
Kwanini unawasemea watanzania? Jiwe alipokufa sehemu mbalimbali walifanya sherehe, je waliofanya sherehe siyo watanzania?Magufuli ni kipenzi cha Watanzania wengi. Apumzike kwa amani Rais wetu bora.
Lazaro alikuwa hai wakati anafufuliwa?Yesu hakumwombea Lazaro, alimfufua. hakuna sehemu hata moja kwenye Biblia Yesu anaombea mfu yeyote, wala mitume hawajawahi kufanya hivyo. ni kanisa katoliki tu ndio linafanya hivyo.
Simchukii jpm, wala simhukumu. Ila kuhusu kuombea, ni chukizo kwa mungu, baada ya kifo ni hukumu hakuna kutengeneza maisha. Hakuna mstari kwenye biblia unasema tuombee wafu.Apumnzike kwa amani ,RIP JPM
17.03.2021 Ikumbukwe daima.
Nina furaha mnoo baada ya Israel kumbeba mwovu..nimegain kama 10 kgs since march 17 mwaka janaUnaonekana una maumivu sana mkuu, pengine msongo wa mawazo. Tafuta tiba kwa Mungu kupitia Wanasaikolojia.
ni kinyume na Bible mzee. ni hivyo tu.fanyeni mkiwa mnajua hilo.Hiyo ni imani yako, kama unafikiri unajua sana fungua uzi juu ya ibada ya wafu tujadili, ikiwezekana unda tume! Nina hakika hata ibada ya wafu maana yake hujui!
Watanzania mafisadi walishangilia. Watanzania wazalendo (na ambao tupo wengi - majority) tuliumizwa sana na kifo chake.Kwanini unawasemea watanzania? Jiwe alipokufa sehemu mbalimbali walifanya sherehe, je waliofanya sherehe siyo watanzania?
wewe unayeelewa weka mstari hata mmoja tu unaosema tuombee wafu.Amekaririshwa na wachungaji wake... Hawezi kuelewa.
Kanisa gani hii ina nembo ya Simba FC? Wacha kupika mambo mtaani.Hakika Magufuli alikuwa mtumishi wa Bwana kwelikweli. Aendelee kupumzika kwa amani mbinguni.