Wema haufichiki, tuliuona waziwazi kupitia matendo yake. Alikuwa mzalendo wa kweli.Sijawahi kumuelewa wala kumuona kama mnavyomuona nyinyi huyo jamaa anaitwa magufuri labda kwa sababu alikuwa boss wangu niliweza kuona mengi yaliyopo moyoni mwake na nyie mkaona ya kwenye kioo cha Tv zenu
yesu aliita "lazaro njoo/toka nje ya kaburi"akatoka. hapo ni kuombea wafu? kwa hiyo na ninyi mnaenda kumfufua jpm, ili tuandae sherehe za kumpokea?Lazaro alikuwa hai wakati anafufuliwa?
Lazaro hakuombewa, maombi/sala ni nini?
Jiwe ana roho mbaya ya kuzaliwa, nina imani asilimia 80 siyo Mtanzania. Aliwahi kufanya kazi na Baba yangu mzazi na ndiyo sehemu ya kwanza kumjua, jamaa alikuwa katili sana wakati kiasili wasukuma hawako hivyo. Let his soul rest in hell.Sijawahi kumuelewa wala kumuona kama mnavyomuona nyinyi huyo jamaa anaitwa magufuri labda kwa sababu alikuwa boss wangu niliweza kuona mengi yaliyopo moyoni mwake na nyie mkaona ya kwenye kioo cha Tv zenu
Hahaha, Wazalendo kama Bashite na Sabaya eti eh? Ambao aliwalinda kwa nguvu zote ili waendelee kuwatesa watanzania wasio na hatiaWatanzania mafisadi walishangilia. Watanzania wazalendo (na ambao tupo wengi - majority) tuliumizwa sana na kifo chake.
Kasome vizuri Biblia. You are too naive.simchukii jpm, wala simhukumu. ila kuhusu kuombea, ni chukizo kwa Mungu, baada ya kifo ni hukumu hakuna kutengeneza maisha. hakuna mstari kwenye Biblia unasema tuombee wafu. hata ukisema RIP mtu kama hakuishi maisha matakatifu huwezi kumtakasa akiwa ameshakufa, yeye ndio anatakiwa kutubu kwa Mungu angali hai asamehewe, ni kitu kati ya Mungu na mtu, na sio watu waende kumuombea mtu kwa Mungu, the only advocate we still have is Jesus, naye anasimama kama daraja kati yetu sisi na Mungu kwamba tukitenda dhambi tupitie kwake ili Mungu atusamehe kwasababu yeye alimwaga damu kwa ajili ya hilo. ila sisi wanadamu tukiombea mfu tunapoteza muda na ni chukizo kwa Mungu.
17.03.2021 inakumbukwa kwa mengi wengine wanashangilia wengine Wana huzunika.simchukii jpm, wala simhukumu. ila kuhusu kuombea, ni chukizo kwa Mungu, baada ya kifo ni hukumu hakuna kutengeneza maisha. hakuna mstari kwenye Biblia unasema tuombee wafu. hata ukisema RIP mtu kama hakuishi maisha matakatifu huwezi kumtakasa akiwa ameshakufa, yeye ndio anatakiwa kutubu kwa Mungu angali hai asamehewe, ni kitu kati ya Mungu na mtu, na sio watu waende kumuombea mtu kwa Mungu, the only advocate we still have is Jesus, naye anasimama kama daraja kati yetu sisi na Mungu kwamba tukitenda dhambi tupitie kwake ili Mungu atusamehe kwasababu yeye alimwaga damu kwa ajili ya hilo. ila sisi wanadamu tukiombea mfu tunapoteza muda na ni chukizo kwa Mungu.
Hili ndo nalijua mimi sasaJiwe ana roho mbaya ya kuzaliwa, nina imani asilimia 80 siyo Mtanzania. Aliwahi kufanya kazi na Baba yangu mzazi na ndiyo sehemu ya kwanza kumjua, jamaa alikuwa katili sana wakati kiasili wasukuma hawako hivyo. Let his soul rest in hell.
Hapa Mtume Paul anamuombea Onesefori aliyekwishafariki. 18 Bwana na ampe kuona rehema machoni pa Bwana siku ile. Na jinsi alivyonihudumia kwa mengi huko Efeso, wewe unajua sana.Yesu hakumwombea Lazaro, alimfufua. hakuna sehemu hata moja kwenye Biblia Yesu anaombea mfu yeyote, wala mitume hawajawahi kufanya hivyo. ni kanisa katoliki tu ndio linafanya hivyo.
Mchawi tulishamzika, aliwatesa sana wana wa Mungu wasio na hatia, Ilibidi tu aondoke, kulikuwa hakuna namna. Unajisikiaje sasa watanzania wanaifurahia nchi yao? Haijalishi upo upinzani au CCM, now kil a mtu anatabasamu. Hivi wale wasiojulikana walienda wapi? since jamaa kafa hatuwasikii tena wakiua/kuteka watuHongera sana mkuu. Umefuzu daraja la juu kabisa la uchawi.
ndio, kwasababu nafafanuliwa na Roho Mtakatifu. ninyi mnasoma seminary hadi vyuo lakini mnasoma kama masomo mengine tu na Roho Mtakatifu hahusiki, hamna Mungu ndio maana hata mapepo mnayaogopa. nikupe mfano huu, ili uamue dini ya kweli ni ipi.Kwamba unaijua Biblia kuliko Wakatoliki. 😁
Una uhakika gani kwamba yupo mbinguni?Hakika Magufuli alikuwa mtumishi wa Bwana kwelikweli. Aendelee kupumzika kwa amani mbinguni.
Hicho kitabu ndio vile Martin Luther alivichomoa alafu wanatusumbua hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magufuli ni kiongozi bora sana wa wakati wetu. Ametufikisha uchumi wa kati ndani ya miaka mitano tu!
hahaha, pole sana. hivyo vitabu ni disputable hadi leo hii, ndio maana hata Yesu Kristo hakuelekeza hivyo, wala mitume hawakuelekeza hivyo, hata dini ya kiyahudi tu ambayo hawamwamini Yesu ila agano la kale, hawaamini icho kitu. Roho Mtakatifu hakitambui hicho kitabu ndio maana hajawahi kuelekeza watu wafanya hivyo. endelea kupoteza muda kuombea wafu.