Mwaka mmoja bila Magufuli: Wasiokuwa wazalendo waendelea kuweweseka

JPM alikuwa chuma kwelikweli.

Ni mmoja wa viongozi bora kabisa kuwahi kutokea Africa.

His legacy lives to date.
 
Reactions: Ame
Laana ya wote waliohusika na njama ovu haitakaa iwaache salama.

Hata hawa wanaosahau wajibu wao na kushinda wakipambana na marehemu nao hawatabaki salama!

Hata namba moja nae ni kama ofisi haikaliki!
Magufuli alikuwa anaongozwa na Mungu. Wote hao wamefeli vibaya sana.
 
Pole sana Mr. Legacy defendant!!!
 
Najua

Lengo langu si kuweka Comparison baina yao, bali ni ninyi kutambua kuwa najisikia faraja sana naposikia au kuona Chuma JPM anatajwa kwa mazuri huku akiitwa jina " Mzee " .

Karibu Geita - chato
 
Timu gaidi wamefilisika kabisa kiuchumi.

Walikunywa na kulewa sana kwa furaha march 17/2021 lakini laana yake haijawaacha salama mwaka umeisha bado Lisu na Lema wanaishi kwa kuombaomba .
Jitu ovu litamlaani nani?
 
Bangi ya Chato ndiyo machale yake haya?
Au umekosa njia Za kuibia watu lizokuwekea lile jambazi la kukatwa mkono lenye roho ya Fimbo ya mchezo wa hockey?
Jifunze kuandika kwanza.
 
Haswa…
 
Wakupinga yupo sasa?

Ni haya matakataka machache hayana madhara
 
Mnaweweseka sana. Na bado.
Mkuu umepigwa ganzi na hufurukuti kwa penzi lako kwa mwendazake.

He is dead

Repeat DEAD!

Alifanya mengi mazuri, lakini mengizaidi mabaya vile vile, na ndio maana kuna watu wanafurahia kuondoka kwake maana kesi za kubambikw zimefutwa, walioporwa wamefurahi, waliotumika kma Sabaya(na wewe inaelekea) sasa wanakula karma ya waliyoyatenda.
Ubaya haulipi.

Katika huo ubaya kulikuwepo utekaji, ubambikaji, unyang'anyaji wa mali(Makonda sasa hivi anaona joto ya jiwe), uuaji.

Kuna watu walifia jela kwa kesi za kubambikwa, kama mzee Shamte wa TPSF( Mungu aiweke roho yake pema peponi), na wengine kutekwa na kutoonekana asilani-Ben Saa Nane.

Sasa kama mtoa mada you are comfortable na hili au haya yote
-
UNA MATATIZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…