Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

Halafu kuna kitu hua nahisi Kafulila kuanzia kwenye U RAS , ilimsaidia kua kiongozi plus na kujielewa, Anapiga kazi kwa sasa sioni RC Tanzania wa kumfikia anapiga kazi sio mchezo
 
Na kabla ya Kafulila RC wa Simiyu alitoka upinzani? Hii ndio shida yq ku personalise kila kitu. Sifa sasa zinaenda kwa watu binafsi na sio chama chao!
Amandla...
 
Mbona tumeshuka uchumi wa kati? . Kwa makunanyo hayo tunstskiwa tuwe uchumi wa kati daraja la juu.
 
Hawa ndio Viongozi wa kutoka Upinzani wako vizuri mno.
 
SSH kafunika kila sehemu,sio tuu kwenye mapato bali ni sekta zote.
 
Ila siasa ni kweli mchezo mchafu, nakumbuka enzi za the late JPM, wakat simiyu RC akiwa mtaka , Simiyu ilikkuwa ikisifiwa pia ..sasa iweje leo isemwe kwamba hali ilikuwa mbaya
Ilikuwa mbaya ndio Kwa sababu wale walikuwa wanafanya maigizo mengi Sana πŸ‘‡
 
Ila siasa ni kweli mchezo mchafu, nakumbuka enzi za the late JPM, wakat simiyu RC akiwa mtaka , Simiyu ilikkuwa ikisifiwa pia ..sasa iweje leo isemwe kwamba hali ilikuwa mbaya
Kula pepsi mkuu
 
Chadema na mbowe wanastahili pongezi kubwa sana kulea vijana majasiri na viongozi mahili mfano wa kafulila malezi kama haya sijui kama kule CCM yapo
Yatoke wapi wakati wao ni mla mla leo. Ngoja waziri mdogo wa ardhi uone madudud yatayomtokea. Mwigulu mmeanza kuyaona. Ya makamba balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…