Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,823
- 2,466
- Thread starter
- #21
Nchi ngumu kwelikweli hiiUsabato unaingiaje hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ngumu kwelikweli hiiUsabato unaingiaje hapo?
Uko sahihi 100%√Chemistry ya Kafulila na Rais Samia Simiyu imenasa,Upinzani Kwisha kabisa,
Mkuu hiyo Tumbili haikai vizuri hapo 😀😀Halafu kuna kitu hua nahisi Kafulila kuanzia kwenye U RAS , ilimsaidia kua kiongozi plus na kujielewa, Anapiga kazi kwa sasa sioni RC Tanzania wa kumfikia tumbili anapiga kazi sio mchezo
Mbona tumeshuka uchumi wa kati? . Kwa makunanyo hayo tunstskiwa tuwe uchumi wa kati daraja la juu.View attachment 2274992
..................
Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato.
Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%.
Mapato kwa miradi ya maendeleo Bariadi Mji mlitekeleza 30% leo mmefika 99%.
Itilima iliyokuwa kundi la halmashauri duni nchini kwa kukusanya chini ya 1bn, leo imekusanya 1.4bn.
Kesho nitamalizia Busega na Bariadi vijijini tuone CAG anaonesha nini.
Naamini kote kuna mabadiliko makubwa " RC- Kafulila leo Juni27, 2022 baada ya vikao vya hoja za CAG kwa halmashauri za Maswa na Bariadi Mji baada kumaliza vikao hivyo kwa Meatu na Itilima Juni25, 2022.
#Mimi Jabali niko tayari kuhesabiwa siku ya tarehe 23|08|2022,Wewe Je?
Chama ni watu mkuu,Na kabla ya Kafulila RC wa Simiyu alitoka upinzani? Hii ndio shida yq ku personalise kila kitu. Sifa sasa zinaenda kwa watu binafsi na sio chama chao!
Amandla...
Watu. Sio mtu. Hata Mkapa alikemea tabia ya kuenzi mtu badala ya chama.Chama ni watu mkuu,
Hawa ndio Viongozi wa kutoka Upinzani wako vizuri mno.Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato.
Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%.
Mapato kwa miradi ya maendeleo Bariadi Mji mlitekeleza 30% leo mmefika 99%.
Itilima iliyokuwa kundi la halmashauri duni nchini kwa kukusanya chini ya 1bn, leo imekusanya 1.4bn.
Kesho nitamalizia Busega na Bariadi vijijini tuone CAG anaonesha nini.
Naamini kote kuna mabadiliko makubwa " RC- Kafulila leo Juni27, 2022 baada ya vikao vya hoja za CAG kwa halmashauri za Maswa na Bariadi Mji baada kumaliza vikao hivyo kwa Meatu na Itilima Juni25, 2022.
#Mimi Jabali niko tayari kuhesabiwa siku ya tarehe 23|08|2022,Wewe Je?
Nimekusoma mkuu wangu,Watu. Sio mtu. Hata Mkapa alikemea tabia ya kuenzi mtu badala ya chama.
Amandla....
SSH kafunika kila sehemu,sio tuu kwenye mapato bali ni sekta zote.Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu.
Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato.
Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%.
Mapato kwa miradi ya maendeleo Bariadi Mji mlitekeleza 30% leo mmefika 99%.
Itilima iliyokuwa kundi la halmashauri duni nchini kwa kukusanya chini ya 1bn, leo imekusanya 1.4bn.
Kesho nitamalizia Busega na Bariadi vijijini tuone CAG anaonesha nini.
Naamini kote kuna mabadiliko makubwa " RC- Kafulila leo Juni27, 2022 baada ya vikao vya hoja za CAG kwa halmashauri za Maswa na Bariadi Mji baada kumaliza vikao hivyo kwa Meatu na Itilima Juni25, 2022.
#Mimi Jabali niko tayari kuhesabiwa siku ya tarehe 23|08|2022,Wewe Je?
Ilikuwa mbaya ndio Kwa sababu wale walikuwa wanafanya maigizo mengi Sana 👇Ila siasa ni kweli mchezo mchafu, nakumbuka enzi za the late JPM, wakat simiyu RC akiwa mtaka , Simiyu ilikkuwa ikisifiwa pia ..sasa iweje leo isemwe kwamba hali ilikuwa mbaya
Kula pepsi mkuuIla siasa ni kweli mchezo mchafu, nakumbuka enzi za the late JPM, wakat simiyu RC akiwa mtaka , Simiyu ilikkuwa ikisifiwa pia ..sasa iweje leo isemwe kwamba hali ilikuwa mbaya
Binadamu wote ni wanyama,hata tumbili ni mnyamaMkuu hiyo Tumbili haikai vizuri hapo 😀😀
Anapenda "kimasikhara yule" we acha tuMkuu yule dc mndengereko mama wa mipasho aka 5 ashahamishwa wilaya au bado mnapambana naye?
Naombeni namba yake, wakuuAnapenda "kimasikhara yule" we acha tu
,Jagaga Lolo to heke..., Mainstagram ,tafutaga eeeeh "tano mwera"Naombeni namba yake, wakuu
Yuko unyantuzuni, mpeleke mara kama happyKafulila ni Moja ya ma RC Bora kabisa ktk nchi hii. Hongera sana mkuu
Yatoke wapi wakati wao ni mla mla leo. Ngoja waziri mdogo wa ardhi uone madudud yatayomtokea. Mwigulu mmeanza kuyaona. Ya makamba balaaChadema na mbowe wanastahili pongezi kubwa sana kulea vijana majasiri na viongozi mahili mfano wa kafulila malezi kama haya sijui kama kule CCM yapo
Sawa mkuuIlikuwa mbaya ndio Kwa sababu wale walikuwa wanafanya maigizo mengi Sana 👇