Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
 
We hujui kwamba siasa ndo ina determine uchumi wa mtu mmoja mmoja?

Mtu unaweza kuwa na shamba lako zuri unalima parachichi ila kama hakuna barabara za kukuunganisha na soko kutokana tu na uzembe wa mbunge, basi hapo utakuwa tu masikini, na hiyo project yako haitakuwa na impact.

Kinachotugharimu watanzania ni kufikiri kwamba siasa na uchumi havipo kwenye equation moja, wakati ni vitu vinalala kitanda kimoja
 
Siasa ni nadharia, sio halisi Bali ni njia ya uongozi, unaweza ukatokea nchi mhovu sana na ukatengeneza Maisha saf sana pia unaweza tokea nchi zenye siasa na miundo mbinu saf na bado ukatokea maskini ama mwajiriwa
 
Back
Top Bottom