mi ukiingia kwenye 18 zangu nakunyonya kinyesi ....we mchumba tu umejificha kwenye uchawa...ungekuwa unajiamin tumia jina lako halisi uone unavyoibeba duniawapi wewe kelele nyingi ingia road andamana
mi ukiingia kwenye 18 zangu nakunyonya kinyesi ....we mchumba tu umejificha kwenye uchawa...ungekuwa unajiamin tumia jina lako halisi uone unavyoibeba duniawapi wewe kelele nyingi ingia road andamana
Hakuna aliyefuata mkumbo wote waliingia barabarani kwa akili zao kwa kuona mustakabali wa nchi unavyoenda .. Na kilichotokea raia walipigwa hawakupigana .. Baada ya kupigwa vinyongo hujegwa na mapigano huanzaWangeongea kwanza na watoto zao kabla hawajaingia barabarani kufanya upuuzi walioufanya. Wangewakanya watoto wao wasifuate mikumbo ambayo hawaijui madhara yake.
Mkuu, mlitaka wakachome uwanja wa ndege, halafu zingetua katika uwanja gani?.
Mlitaka wakachome yale matanki ya mafuta kule TPA, huo moto ambao ungelipuka ungezimwa vipi?. Vipi kuhusu hasara ya DP World kutofanya kazi kwa karibu wiki nzima?.
Vipi kuhusu wale wapiga kura waliokatwa vidole vyao?.
Unapotaka kushindana na dola inabidi ujipange kwelikweli, vinginevyo utakuja na maongezi ya kutafuta huruma kama haya ya kwako.
Walidanganywa na wajinga waliopo huko USA wakafa kwa maelfu, wamekuja kugundua kuwa malengo waliyonayo hao wanaharakati ni kuigeuza Tanzania ikafanana na Somalia wameamua kuachana na upuuzi wanaohubiri.Hakuna aliyefuata mkumbo wote waliingia barabarani kwa akili zao kwa kuona mustakabali wa nchi unavyoenda .. Na kilichotokea raia walipigwa hawakupigana .. Baada ya kupigwa vinyongo hujegwa na mapigano huanza
Usichofahamu unadhani wewe ndo mwenye akili na walioandamana ni wajinga si kweli Watanganyika na walioandamana ni watu wenye akili timamu, Kwa fikra hizo za kudhania walioandamana ni wapumbavu na wamedanganywa ni ngumu sana haki na amani kutaradadi, kwa nini uwasemee watu au kutaka kutawala fikra na maoni yao..Walidanganywa na wajinga waliopo huko USA wakafa kwa maelfu, wamekuja kugundua kuwa malengo waliyonayo hao wanaharakati ni kuigeuza Tanzania ikafanana na Somalia wameamua kuachana na upuuzi wanaohubiri.
Tarehe 9 na 25 watanzania wakaamua kuwaonyesha hao wajinga kina Mange na Maria kwamba hawapo tayari kuondelea kuyaweka rehani maisha yao tena wakiwa bado katika umri mdogo.
Hayakuwa maandamano ule ulikuwa uhuni kama uhuni mwingine wowote, hakuna maandamano ambayo waandamanaji wanachoma vituo vya mafuta.Usichofahamu unadhani wewe ndo mwenye akili na walioandamana ni wajinga si kweli Watanganyika na walioandamana ni watu wenye akili timamu, Kwa fikra hizo za kudhania walioandamana ni wapumbavu na wamedanganywa ni ngumu sana haki na amani kutaradadi, kwa nini uwasemee watu au kutaka kutawala fikra na maoni yao..
Je unaamini Raia zaidi ya 10,000 waliouwawa kwa kupigwa risasi walikua vibaka, idadi kubwa ya waliouwawa waliuwawa mitaani majumbani .. kuna vijana wawili wanafunzi wa Olevel mtaani kwangu walipigwa risasi na kufariki majumbani ..Hayakuwa maandamano ule ulikuwa uhuni kama uhuni mwingine wowote, hakuna maandamano ambayo waandamanaji wanachoma vituo vya mafuta.
Hakuna maandamano ambayo waandamanaji wanachoma mali binafsi za kina Jux, Shilole na Diamond pamoja na mabasi mengi ya watu binafsi.
Ule ulikuwa uhuni na vibaka wakapigwa risasi kwa ujinga walioufanya, wapo raia wasio na makosa waliouliwa lakini hawakuwa wengi kulinganisha na wale waporaji na wezi wa mali za kwenye maduka ya watu.
Unaandika km vile ni virahisilakini meku kuna vijana ni kama wanavuta shati nyuma sasa unakuta kijana ni msomi lakini hajishuhulishi kazi ni kulalama oh ajira unajiuliza kwani huyu hawezi kutumia usomi wake akabuni mradi hata wa kuhudumia bustani za maua na ukoka kisomi akainuka kiuchumi
Ukianzisha fitina uwe tayari kwa matokeo yake, wanasiasa waliona raha kusema 'tutakinukisha' madhara ya kauli zao yamewakumba maelfu ya vijana. Vita haina macho ukitengeneza mazingira ya kubariki machafuko tegemeo uwepo wa siku mbaya zenye machafuko.Je unaamini Raia zaidi ya 10,000 waliouwawa kwa kupigwa risasi walikua vibaka, idadi kubwa ya waliouwawa waliuwawa mitaani majumbani .. kuna vijana wawili wanafunzi wa Olevel mtaani kwangu walipigwa risasi na kufariki majumbani ..
Si kweli mpaka kukinukisha inakuja watu si wendawazimu hoja za msingi zilipuuzwa..Fahamu ukiua kwa upanga utauwawa kwa upanga.. Je unadhani ni raisi kufanya mauaji ya raia 10,000 na nchi ikatulia.. Kuna askari wa Zanzibar walikua wakiua Watanganyika huku wakisema mlituulia baba zetu 2001 kipindi cha Mkapa hivi ndo visasi tunavyosema na imetokea baada ya miaka 25..Pia raia hawajapigana bali wamepigwa.. Sehemu zote zenye vita mambo yalianza hivi.Ukianzisha fitina uwe tayari kwa matokeo yake, wanasiasa waliona raha kusema 'tutakinukisha' madhara ya kauli zao yamewakumba maelfu ya vijana. Vita haina macho ukitengeneza mazingira ya kubariki machafuko tegemeo uwepo wa siku mbaya zenye machafuko.
Sasa
Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako
vipi uchumi wakata wanasiasa wamezishikilia njia zote za uchumi?Tutaendelea kujadili siasa Hadi pale nchi ITAKUWA na viongozi wanaotokana na matakwa ya wananchi