Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Baelezee waelewe brother
 
Usikariri maisha , kujadi uchumi Sio kuwa na uchumi .
lakini meku kuna vijana ni kama wanavuta shati nyuma sasa unakuta kijana ni msomi lakini hajishuhulishi kazi ni kulalama oh ajira unajiuliza kwani huyu hawezi kutumia usomi wake akabuni mradi hata wa kuhudumia bustani za maua na ukoka kisomi akainuka kiuchumi
 
Siasa ni nadharia, sio halisi Bali ni njia ya uongozi, unaweza ukatokea nchi mhovu sana na ukatengeneza Maisha saf sana pia unaweza tokea nchi zenye siasa na miundo mbinu saf na bado ukatokea maskini ama mwajiriwa
Unazungumzia outlier case. Mfano ukienda Somalia nchi ya vita, utakuta kuna watu wachache sana wanatengeneza utajiri mkubwa katika mazingira ya vitani, ila tukiongelea kwa wananchi walio wengi, ukosefu wa serikali imara na usalama, vinawanyima fursa raia wengi kujiinua kimaisha.

Kwahiyo, kwangu mimi, siasa sio nadharia, bali ni muhimili unaofanya kazi kwenye dunia yenye uhalisia.
 
siasa 10% uchumi 90%, mada zinazotakiwa kujaa apa ni za fursa either za ndan ama nje ya nchi
Mnalimbikiziana Mali wenyewe unakuja kusema nini? Maji yenyewe yamewashinda huo uchumi tunaujengaje bila maji, unaifahamu umuhimu wa maji
 
wewe umetatua vipi swala la maji binafsi kwa matumiza yako katika kaya yako

au pesa ya kununua boza umekunywa bia
 
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Hapa hatujadili siasa, tunajadili mauaji ya Kimbari yaliyofanywa na kikundi cha kigaidi kinachojiita CCM
 
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
"Nauliza Swali ndugu zanguni ,hivi hawa usalama wa taifa ni kweli usalama wa taifa au usalama wa wanasiasa? Mbona wizi na ufisadi unatokea lakini hawafanyi chochote? Nachoka mimi Baba yenu clemence Mwandambo" - Clemence Mwandambo.
 
Unazungumzia outlier case. Mfano ukienda Somalia nchi ya vita, utakuta kuna watu wachache sana wanatengeneza utajiri mkubwa katika mazingira ya vitani, ila tukiongelea kwa wananchi walio wengi, ukosefu wa serikali imara na usalama, vinawanyima fursa raia wengi kujiinua kimaisha.

Kwahiyo, kwangu mimi, siasa sio nadharia, bali ni muhimili unaofanya kazi kwenye dunia yenye uhalisia.
unless unataka kufanya siasa za maji taka ila kujikwamua kiuchumi ni 99% juhudi zako mwenyewe, 1 ni muunganiko wa vitu vingi kama bahati, timming na vitu vingine! umetoa mfano wa somalia tukichukulia hao hao wachache unadhan wangefuata ushauri wako wangeupata huo utajiri?
 
"Nauliza Swali ndugu zanguni ,hivi hawa usalama wa taifa ni kweli usalama wa taifa au usalama wa wanasiasa? Mbona wizi na ufisadi unatokea lakini hawafanyi chochote? Nachoka mimi Baba yenu clemence Mwandambo" - Clemence Mwandambo.
mbna wanashuhulikiwa, hujaona waliochoma miundo mbinu 29
 
Frame zangu 2 tu zinatosha kulipia watoto wangu wawili mosomo huko China. Au unadhani mimi napata pesa za mawazo hapa mjini? Ukiacha nyumba za urithi za mzee wangu, mimi mwenyewe nimeshajipata muda mrefu kwa utafutaji. Huoni sijipendekezi kwa majizi na mauaji ya ccm kama ww?
mfano Tindo mpaka sasa hajapata ada ya mtoto wake
 
Frame zangu 2 tu zinatosha kulipia watoto wangu wawili mosomo huko China. Au unadhani mimi napata pesa za mawazo hapa mjini? Ukiacha nyumba za urithi za mzee wangu, mimi mwenyewe nimeshajipata muda mrefu kwa utafutaji. Huoni sijipendekezi kwa majizi na mauaji ya ccm kama ww?
usitake tuanze kutoa risiti apa, tunakustiri tu
 
Back
Top Bottom