Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

Wasijadili siasa ili muendelee kuipiga nchi huku wao wanalipa kodi? Mnaumwa mavi nyie. Kataeni kodi zao wananchi nao wataacha kujadili siasa.
 
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Waanze CHADEMA kuacha kujadili pumba.
 
Watu ama wahakifu kupigwa? Mnataka kusema hamkuharibu mali
Hapana wahalifu no 1 ni majizi ya kura na uchaguzi na watekaji.. Matokeo ya uhalifu huo unaosema yalitokana na uhalifu mkubwa wa serikali kuteka na kufanya mauaji ..
 
Imenipita hii mwanzoni
Ni hivi hawa wenzetu walishazoea ajira za serikali tokea enzi ya mpuuzi nyerere, kupata ki ajira cha utumishi daraja la pili, sijui afisa utumishi wa elimu.
Sasa hii haipo, na wazazi wao bado wanaishi maisha ya kale wanahimiza na wakiona haiwezekani wanawachochea kuwa mfumo umevurugwa, sasa hapo ndio tunajua kwa nini wanasema hivyo?
Ule mfumo wao kupitishana kimajina na kiimani umeshakufa, hawaamini leo hii meza imepinduliwa, kama huna viwango hupati kazi.
Sasa tunaona TEC wanaijiingiza kwenye siasa, sababu walijikita na vishule vya kuaminisha nyumbu kuwa wao ni "Cream of Crop" na mfumo utawapokea bila shida.
 
Reasoning ya standard 1 hii. Uchumi binafsi unakuwa determined na uchumi jumla wa taifa. Ni interdependent system. Otherwise utakuwa unasukuma gari lisilo na engine.
 
mzee watu mil 20 walikufa ww1 na maisha yashaendelea, ndo iwe hawa ambao tuliwapa onyo kabisa
Lissu alianzisha msamiati wa 'kitanuka' hakujua alichokuwa anakiongea, chawa wake wakadakia na wao wakaanza kuutumia msamiati huo hatari. Sheikh Mkuu akawaonya walioupenda msamiati huo.

Kilipokuja kunuka October 29 ndio wamejua kwamba ule ulikuwa msamiati mbaya sana midomoni mwa watu.

Walipopoteza ndugu zao wakajua kwamba kinaponuka madhara yanaweza kumkuta mpaka mtoto wa miezi sita.

Wakaanza kuongea zile lugha za kutia huruma baada ya kukutana na madhara ya kukinukisha, vita haina macho.

2026 tujikite kwenye mada zenye ujumbe chanya kuhusiana na uchumi, kuna fursa nyingi mno zinaibuliwa na hii reli ya SGR inayomaliziwa kujengwa.
 
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Hata nyie mwaka unaofuata kama teuzi za ahadi baada ya kukiwa kinyeo na matepeli wa vetting zikigoma tafuteni kazi nyingine
 
Hapa unachanganya . World war ilikua ni mapigano.. Tanzania kilichotokea ni watu kupigwa sio mapigano.. Kwa sasa tusubiri mapigano. Piga nikupige ndo tunasubiri.
Mchuma janga hula na wa kwao. Wale waliodhani Samia atapelekwa ICC walishindwa kuufahamu umahiri wa mwanasheria mkuu Hamza Johari aliyemshauri Rais aunde tume ya uchunguzi.

Inapokuwepo tume ya uchunguzi inayotafuta ushahidi kuhusu yaliyotokea moja kwa moja ICC inakuwa haina uwezo wa kumchukua Rais kwa ajili ya mashtaka, pia kilichotokea ni 'crime against humanity' sio genocide (mauaji ya kimbari).

Kilichotokea ni sawa na wale watoto wa shule za msingi kule USA wanaoamua kwenda na bunduki mashuleni halafu wakapiga risasi darasa zima pamoja na waalimu.

Samia angeua kabila moja kwa nia ya kuliteketeza angekuwa kafanya genocide haraka sana angeshtakiwa bila ya kujali kama kaunda tume au la, hakuna Rais anayefanya genocide halafu akaendelea kuwa huru katika nafasi yake.

Waliokuwa wasaidizi wa Hitler wote walikamatwa na kushtakiwa, wauaji wa Rwanda mpaka kesho wanaendelea kukamatwa mmoja baada ya mwingine miaka 30 baada ya tukio, Saddam Hussein alinyongwa.
 
Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Screenshot_20251222-120716~2.png
 
Mchuma janga hula na wa kwao. Wale waliodhani Samia atapelekwa ICC walishindwa kuufahamu umahiri wa mwanasheria mkuu Hamza Johari aliyemshauri Rais aunde tume ya uchunguzi.

Inapokuwepo tume ya uchunguzi inayotafuta ushahidi kuhusu yaliyotokea moja kwa moja ICC inakuwa haina uwezo wa kumchukua Rais kwa ajili ya mashtaka, pia kilichotokea ni 'crime against humanity' sio genocide (mauaji ya kimbari).

Kilichotokea ni sawa na wale watoto wa shule za msingi kule USA wanaoamua kwenda na bunduki mashuleni halafu wakapiga risasi darasa zima pamoja na waalimu.

Samia angeua kabila moja kwa nia ya kuliteketeza angekuwa kafanya genocide haraka sana angeshtakiwa bila ya kujali kama kaunda tume au la, hakuna Rais anayefanya genocide halafu akaendelea kuwa huru katika nafasi yake.
Waliokuwa wasaidizi wa Hitler wote walikamatwa na kushtakiwa, wauaji wa Rwanda mpaka kesho wanaendelea kukamatwa mmoja baada ya mwingine miaka 30 baada ya tukio, Saddam Hussein alinyongwa.
Jaribu kusoma na kuelewa kwa kina nilicho andika.. Upo nje ya mada kabisaaaa..
 
Jaribu kusoma na kuelewa kwa kina nilicho andika.. Upo nje ya mada kabisaaaa..
Mapigano yenye tija yatakuwa yale yanayoongeza kitu mfukoni, kutafuta risasi ili uwalipizie polisi kwa kuua ndugu zako huo utakuwa mwanzo wa kuipeleka Tanzania mahali ilipo Somalia iliyopigana vita isiyo na mwisho tangu mwaka 1991.

Usitegemee kuona uwepo wa makundi ya waasi yenye kumiliki bunduki, tunao wasomi wengi wenye busara ambao hawawezi kukubali kuona Tanzania inachomwa moto kiasi cha kushindwa kuuzima. Biashara yoyote ya silaha zinazoingia pale bandarini inadhibitiwa vyema na serikali.

Pale Mkuranga na Rufiji kuna wapuuzi walipenyeza silaha wakaanza kuua watendaji wa serikali za mtaa na viongozi wa CCM walitaka kufanya yale yanayofanywa na Boko Haram ndani ya Nigeria, cha moto walikipata, wote waliuliwa na maiti zao zikatiwa ndani ya viroba na kutupwa baharini.
 
Back
Top Bottom