Sasa unafanyaje huku , baada ya kufungia sikutarajia mje huku Tena kupitia VPN .Mvua zinanyesha,hawalimi, November waanze kumlaumu rais vyakula bei juu
Sasa kama Hujui impact ya siasa kwenye uchumi , huo uchumi utaweza kweliSiasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Unajua impact ya siasa kwenye uchumiVijana wanafuatilia siasa ni wavivu ,mtaji wao ni kelele tu.
Nyie machawa ni mjitu majinga sanaungekua saaahv una mabilioni ya kutosha maana sio kwa pumba za siasa unaandika mwaka mzima
Swali limejikita kwenye wizi/ufisadi wa wanasiasa ,je mbona CAG kila mwaka anareport wizi/ufisadi na hakuna hatua inayochukuliwa ,je wanalinda usalama wa wanasiasa tu?mbna wanashuhulikiwa, hujaona waliochoma miundo mbinu 29
Njia pekee ya kumdhibiti binanamu ni kumpa haki yake tofauti na hapo ni uharamia, uasi , maafa , ugaidi etc.. Fuatilia maafa yote Africa na duniani.. Uasi ukianza ndo utaelewa maana ya hili..Mapigano yenye tija yatakuwa yale yanayoongeza kitu mfukoni, kutafuta risasi ili uwalipizie polisi kwa kuua ndugu zako huo utakuwa mwanzo wa kuipeleka Tanzania mahali ilipo Somalia iliyopigana vita isiyo na mwisho tangu mwaka 1991.
Usitegemee kuona uwepo wa makundi ya waasi yenye kumiliki bunduki, tunao wasomi wengi wenye busara ambao hawawezi kukubali kuona Tanzania inachomwa moto kiasi cha kushindwa kuuzima. Biashara yoyote ya silaha zinazoingia pale bandarini inadhibitiwa vyema na serikali.
Pale Mkuranga na Rufiji kuna wapuuzi walipenyeza silaha wakaanza kuua watendaji wa serikali za mtaa na viongozi wa CCM walitaka kufanya yale yanayofanywa na Boko Haram ndani ya Nigeria, cha moto walikipata, wote waliuliwa na maiti zao zikatiwa ndani ya viroba na kutupwa baharini.
Kuna vita ya kiuchumi ya chini kwa chini kati ya Tanzania na Kenya. Walipomzuia Mange kwa kumnyang'anya akaunti zake za whatsapp wakaweza kuiondoa kabisa vurugu yake akishirikiana na Wakenya.Njia pekee ya kumdhibiti binanamu ni kumpa haki yake tofauti na hapo ni uharamia, uasi , maafa , ugaidi etc.. Fuatilia maafa yote Africa na duniani.. Uasi ukianza ndo utaelewa maana ya hili..
Hapana Tanzania hii vita na ugomvi mkubwa uliopo ni baina ya watawala na watawaliwa.. Kama vuguvugu ni maliasili za Tanzania kwa nini Polepole ameuawa..Kuna vita ya kiuchumi ya chini kwa chini kati ya Tanzania na Kenya. Walipomzuia Mange kwa kumnyang'anya akaunti zake za whatsapp wakaweza kuiondoa kabisa vurugu yake akishirikiana na Wakenya.
Ana kesi huko huko Marekani, hawezi kuletwa kuja kushtakiwa, bali atashtakiwa huko huko California, imegundulika anayo makosa kwa kuitazama Penal Code ya jimbo hilo, kuna vifungu kadhaa vinamtia hatiani.
Huo uharamia, uasi, maafa kwa Tanzania hatuna asili ya ujinga wote huo, ni vitu vya kutengenezwa katika hiyo vita mbaya ya kiuchumi. Tangu tulipogundulika kwamba tunamiliki madini mengi ya thamani kubwa tumeanza kuchukiwa haswa na majirani zetu wanaotawaliwa na wivu.
Polepole alijawa na mawazo ya kibaguzi pia ni wale wanaume ambao akilini mwao mwanamke ni kiumbe inferior.Hapana Tanzania hii vita na ugomvi mkubwa uliopo ni baina ya watawala na watawaliwa.. Kama vuguvugu ni maliasili za Tanzania kwa nini Polepole ameuawa..
kwan wale wahalifu hawakua wenzenuSwali limejikita kwenye wizi/ufisadi wa wanasiasa ,je mbona CAG kila mwaka anareport wizi/ufisadi na hakuna hatua inayochukuliwa ,je wanalinda usalama wa wanasiasa tu?
Hao waliokamatwa M029 na kusema ndiyo walikuwa wezi ebu watake radhi group la kina niffer na chavala.
Huyo Chavala anaweza akawa anakulipa fedha unayolipwa na Abdul kwa mwezi hata mara tatu yake.
Ukiiendekeza siasa unapoteza uwezo wa kuziona fursa nyingi za kiuchumi ambazo wageni wanakuja na kutajirika kirahisi tu.
Kupanda ngazi unamaanisha nini?? Kwa kua ukiangalia hoja alizokua anazungumza zilikua na usahihi na ukweli 100%, kwa nini serikali itoe adhabu ya kifo kwa kila anaye kosoa..Serikali za nyuma Jk hata Magufuli wamekosolewa sana but hakuna mauaji yaliyotokea.. Mpaka machafuko ya 29/10 kuna mazito mengi yapo vifuani mwa wananchi..Tafakari..Polepole alijawa na mawazo ya kibaguzi pia ni wale wanaume ambao akilini mwao mwanamke ni kiumbe inferior.
Alitoka kusikojulikana akapanda ngazi za kiuongozi akajisahau kwamba kukaa meza kuu haiwezi kuwa haki ya kila mtu.
Alianza fitina mapema baada ya kifo cha JPM. Ni wale wanasiasa ambao walidhani wataondoka na JPM mwaka 2025 October kumbe Mungu ana mipango yake tofauti na ya Polepole.
Ukimtukana Amiri Jeshi Mkuu unatafuta matatizo. Dunia nzima Rais hadhihakiwi, huwezi kuikashifu nembo ya Taifa halafu ukaendelea kuvuta pumzi juu ya ardhi.Kupanda ngazi unamaanisha nini?? Kwa kua ukiangalia hoja alizokua anazungumza zilikua na usahihi na ukweli 100%, kwa nini serikali itoe adhabu ya kifo kwa kila anaye kosoa..Serikali za nyuma Jk hata Magufuli wamekosolewa sana but hakuna mauaji yaliyotokea.. Mpaka machafuko ya 29/10 kuna mazito mengi yapo vifuani mwa wananchi..Tafakari..
Hapana Rais hukosolewa kwa hoja, na hoja hujibiwa kwa hoja..Rais asiyetaka kukosolewa ni Pure dictactorship..Haya mambo ndo chanzo cha uasi katika nchi zetu za bara la africaUkimtukana Amiri Jeshi Mkuu unatafuta matatizo. Dunia nzima Rais hadhihakiwi, huwezi kuikashifu nembo ya Taifa halafu ukaendelea kuvuta pumzi juu ya ardhi.
Usipotaka kukosolewa na kufanya mauaji ya Raia ndo chanzo cha vita vya wenyewe kwa wenyewe.Na hii huzua matabaka katika jamiiUkimtukana Amiri Jeshi Mkuu unatafuta matatizo. Dunia nzima Rais hadhihakiwi, huwezi kuikashifu nembo ya Taifa halafu ukaendelea kuvuta pumzi juu ya ardhi.
mnamkosoa kwa mada gan? mfano unasema abdul kaiba ela leta huo ushahidi kwamba kuna pesa flan ilienda kwenye akaunti ya abdul kutoka serikalini, apo sasa unaonekana mtu mwenye akili na hata ukienda mahakamani lazima usikilizwe, sio unakaa mtandaoni hujajua pesa zmetoka wap unaropoka tu! mfano kikwete kila skendo ya rushwa anatumika yeye lakini mpaka leo anaishi maisha ya kawaida kabisaHapana Rais hukosolewa kwa hoja, na hoja hujibiwa kwa hoja..Rais asiyetaka kukosolewa ni Pure dictactorship..Haya mambo ndo chanzo cha uasi katika nchi zetu za bara la africa