Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Tarehe 9 desemba hakufa mtu hata mmoja, ndio ujue tarehe 29 October yalifanyika mapinduzi hapakuwa na maandamano.Usipotaka kukosolewa na kufanya mauaji ya Raia ndo chanzo cha vita vya wenyewe kwa wenyewe.Na hii huzua matabaka katika jamii
Lazima dola iushinde uhaini na siku zote unapofanya uhaini unakuwa tayari kwa mambo mawili, kupigwa risasi au kufungwa jela.