Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

Mwaka mzima unajadili siasa tu, 2026 badilika sasa anza kujadili uchumi wako

Siasa ni michezo ila kwa science yake binafsi, ukikaa ukiwa unasubiria kuelewa siasa basi utasubiria sana,, Hivo basi ebu anza kujadili namna ya kujisogeza kimaisha ata watoto wako wakiwa wakubwa wajue umewaachia kitu, mtoto anakua anachojua ni mzee wake alikua anaongoza kwa kuandika nyuzi JF
Samia Suluhu Hassan,siyo siasa.
Huyo ndiye anayekuleta humu JF kujaza takataka zako ili upate makombo ya chakula anachokutupia wewe; wakati mkiondoa uhai wa waTanzania.

Kwa hiyo usifikiri waTanzania wataacha kufanya juhudi za kujikomboa na kukomboa uhai wao kwa mada za kipuuzi kama hizi unazojaza humu.
 
Umepangiwa namba ya mabandiko unayotakiwa kuyajaza humu JF; maana sasa ni kama umeehuka kabisa!
Kuna ule ugonjwa wa "kichaa cha nguruwe", bila shaka ndio unaokusumbua akilini mwako sasa.
inawezekana kabisa mkuu
 
Msaada wako kwa Samia unazidi kupotea; hata makombo anayokutupia haoni thamani inayopatikana kwako na mada zako za kipuuzi humu JF.
naskia hukupewa mgao wa Ford 🤣 🤣 , muha
 
Uchumi unaendeshwa na siasa. Kuacha kujadili siasa ni sawa na kuacha kujadili uchumi. Chawa mkubwa wewe!!
 
Siasa ni maisha ya watu, siasa zinagusa watu kwa asilimia 100.

Sasa mpumbavu wewe unadhani kujadili siasa sio kujadili uchumi? Kweli taifa lina viazi mbatata hili.
 
Uchumi unaendeshwa na siasa. Kuacha kujadili siasa ni sawa na kuacha kujadili uchumi. Chawa mkubwa wewe!!
ungekua saaahv una mabilioni ya kutosha maana sio kwa pumba za siasa unaandika mwaka mzima
 
Back
Top Bottom