ninazo kama za fisadi ridhiwani na babake tu, wewe ambae haufanyi siasa una nini?kwa miaka umefanya siasa mpaka leo vp una billion ngap
Wewe hujui unachokiongea. Bunge ni siasa, na ndilo linalotunga sheria zote za nchi hii, mpaka budget ya serikali. Sasa unavyolazimisha kwamba siasa na uchumi havitegemeani, nakuwa nakushangaa.unless unataka kufanya siasa za maji taka ila kujikwamua kiuchumi ni 99% juhudi zako mwenyewe, 1 ni muunganiko wa vitu vingi kama bahati, timming na vitu vingine! umetoa mfano wa somalia tukichukulia hao hao wachache unadhan wangefuata ushauri wako wangeupata huo utajiri?
Tajiri gani unayemjua wewe ambae hana acc huku? Wewe unadhani unajibizana na maskini wenzio?ushawahi kumuona tajiri anaanzisha nyuzi uku? au hata akaunti tu
Hizo propaganda za uharibifu hazitokuja kuhalalisha mauaji mlofanya. Mhalifu anatakiwa kushughulikiwa kama sheria inavyosema. So, again, Damu mlizomwaga mtalipa na vizazi vyenu.nkajua mnajadili uharibifu waliofanya, ila kwakua mnapenda kujitoa akili basi mtaendelea kunyooka
Bunge ni chombo tu, hata wakisema mwaka huu bajeti ni zaidi ya marekani kama hauko sharp kwenye maisha utaendelea kua tu maskini pamoja na uwepo wa bunge, lakini pia hilo bunge linaweza lisiwepo na ukawa na maisha mazuri kabisa kwan unadhan kila mtu anafanya biashara tanzania tu?Wewe hujui unachokiongea. Bunge ni siasa, na ndilo linalotunga sheria zote za nchi hii, mpaka budget ya serikali. Sasa unavyolazimisha kwamba siasa na uchumi havitegemeani, nakuwa nakushangaa.
hamkufuata sheria ila mnataka sisi tufuate si ndio, sauwaaaa! mtazika sanaHizo propaganda za uharibifu hazitokuja kuhalalisha mauaji mlofanya. Mhalifu anatakiwa kushughulikiwa kama sheria inavyosema. So, again, Damu mlizomwaga mtalipa na vizazi vyenu.
absolutely, ni rahisi sana kumjua maskini kwa anachokiongea maanaa mda wote anaongea matap tap, na pia wakati mnaandamana 29 tajiri gan alikua paleTajiri gani unayemjua wewe ambae hana acc huku? Wewe unadhani unajibizana na maskini wenzio?
Mhalifu toka lini akafata sheria, maana ya mhalifu ni nini? Sheria zimewekwa kwa ajili ya nani, magereza na mahabusu zipo kwa ajili ya nini?hamkufuata sheria ila mnataka sisi tufuate si ndio, sauwaaaa! mtazika sana
Pole sana wewe maskini, nenda kalime. Kilimo kwanza.absolutely, ni rahisi sana kumjua maskini kwa anachokiongea maanaa mda wote anaongea matap tap, na pia wakati mnaandamana 29 tajiri gan alikua pale
Nyie ni terrorists. Ndo sifa mnayostahili.unatuona sisi kama vijana wenu wa red briged eeh
Sisi ni wazalendo, tunataka nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi kutoka Zanzibarna nyie ni wahalifu, ngoma drooo
Umelima?Mvua zinanyesha,hawalimi, November waanze kumlaumu rais vyakula bei juu
kituo kimoja cha mafuta kina thamani ya uhai watu wangapi?wazlendo wa kuchoma nchi si ndio, basi mtachezea shaba sana