Hayawezi kwenda mbele mpaka hatima ipatikane hata kama ni baada ya miaka 100++move on maisha hayamsubiri mtu
Hapa unachanganya . World war ilikua ni mapigano.. Tanzania kilichotokea ni watu kupigwa sio mapigano.. Kwa sasa tusubiri mapigano. Piga nikupige ndo tunasubiri.mzee watu mil 20 walikufa ww1 na maisha yashaendelea, ndo iwe hawa ambao tuliwapa onyo kabisa
Kwamba mliua safari hii kwa kutumia hiyo rejea ya vifo vya WW2?mzee watu mil 20 walikufa ww1 na maisha yashaendelea, ndo iwe hawa ambao tuliwapa onyo kabisa
Siasa ni nadharia, sio halisi Bali ni njia ya uongozi, unaweza ukatokea nchi mhovu sana na ukatengeneza Maisha saf sana pia unaweza tokea nchi zenye siasa na miundo mbinu saf na bado ukatokea maskini ama mwajiriwaWe hujui kwamba siasa ndo ina determine uchumi wa mtu mmoja mmoja?
Mtu unaweza kuwa na shamba lako zuri unalima parachichi ila kama hakuna barabara za kukuunganisha na soko kutokana tu na uzembe wa mbunge, basi hapo utakuwa tu masikini, na hiyo project yako haitakuwa na impact.
Kinachotugharimu watanzania ni kufikiri kwamba siasa na uchumi havipo kwenye equation moja, wakati ni vitu vinalala kitanda kimoja