Mwaka umeanza vibaya, Mwanamke ameniacha, Haina shida nashukuru Mungu tu

Yani anaandika kwa kufoka as if anaongea na mtoto wake wa mwisho.

Ila Cha ajabu, ndugu yetu anaishia kusema "nashukuru"
Si vyema kuwatukana wanawake sister Anna. Mimi huji nikuta namtukana mwanamke. Hata unitukane vipi sitokutukana ila ukijichanganya ukaja ghetto..... Ndo utaomba msamaha
 
Wanaume wengi sikuhiz wanatengeneza hizo text wengi sana, hata Madogo wengi wana depression. Hizo chat ni za kutengeneza Halafu cjui kwann wanaume sikuhiz wanafanya hivyo, ila kazi ngumu sana
Dada naona una depression hasa. Why unaumia na nini? Unatengeneza ili iweje? Naona kama umepaniki sana. Ambacho kimekuumiza ni nini dada angu? Thank you all the best.
 
Dada naona una depression hasa. Why unaumia na nini? Unatengeneza ili iweje? Naona kama umepaniki sana. Ambacho kimekuumiza ni nini dada angu? Thank you all the best.
Wenye kusoma miandiko tulishaelewa.
Wewe changamsha genge tu.
Hizo text ulikuwa unajitumia na kujijibu, bila kuzingatia makosa pole ndugu.
Kwa jinsi ulivyopaniki hapa itoshe kusema hizo chati ulitaka mwanamke aonekane hovyo, uonekane na pesa, Halafu unaonekana unamjibu kistaarabu wakati umeshindwa kuhandle critics hapa😂😂pole ndugu
 
Unabaki kusema nashukuru, kwani ulikuwa unabarikiwa?

Kutwa kujidai kidume humu jukwaani, kutunishiana misuli na wanajukwaa. Ila huko nje umelegea ka mlenda pori.
Mkuu huyo jamaa ni muongo.

Yaani kafeli muandiko , Halafu kwa saikolojia nyepesi tu huyu mtu hawez kujibu hvyo cheki hapa kidogo tu matusi.
Halafu huo muandiko unafanana kila kitu.
 
Mi naona wewe ndo umepaki sister. Si vibaya. Nawe nakwambia tu. Thank you. All the best. Mi huwa siwajibu vibaya wanawake. Huwezi jua kuna siku naweza kwama sana nikaomba kuosha.
 
Mi naona wewe ndo umepaki sister. Si vibaya. Nawe nakwambia tu. Thank you. All the best. Mi huwa siwajibu vibaya wanawake. Huwezi jua kuna siku naweza kwama sana nikaomba kuosha.
Pole utoto huo tushaufanya sana.
Kaa Halafu angalia vzur wapi ulikosea ulivyokuwa unajijibu.
Ulipost bila kuwa makini.
 
Usisikitike binti kama huyo kukuacha, tena bora amekuacha ili utimize mipango yako ya maisha vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…