Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Highly appreciated Joannah, mdada mpambanaji wa ukweli kabisa.

Happy new yr and merry Christmas kwako na kwa uwapendao.
 
Asante kwa kunikumbuka Tena mrembo. Kwahizi blessings na wishes, huu Mwaka natumai utaisha vizuri kwangu, na mwaka ujao utakuwa super. Stay blessed 😊😊
 
Namimi nipo hapa najikombaa
 
Dah kumbe na wewe una maneno mengi namna hii. Hatari upo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…