Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Kuna huyu rafiki na mtani wangu kupitia mwandiko😅
Cillah
Wewe falla ninakukubali sana, una akili sana sana.
Ninafurahi kwa namna unavyonipa changamoto ya kunitania kila unionapo🤣
Ninakutakia kila lililojema kwako unapojiandaa kuumaliza mwaka na kuupokea mwaka mpya 2023.
Nakupenda sana mtani/rafiki yangu😘😘
 
DAda machachari na mcheshi sana Nakadori
Mungu akutunze na uupokee mwaka salama.
 
"Kupitia mwandiko"
Hebu sema ukweli we fwalla, au kuna mtu unamuibia humu ndani?
 
Kupitia mwandiko, bro jitizame🤣🤣🤣
 
Unataka ugundue nini bro?
Sikamatiki kizembe ujue😅😅
Nilikuachia Patience, hapa nimewekeza bro mali, nguvu zangu nyingi zimepotelea humu na akili🤣🤣
 
Nilikuachia Patience, hapa nimewekeza bro mali, nguvu zangu nyingi zimepotelea humu na akili🤣🤣
Daah enzi zile ulikuwa unanikwaza sana mkuu.
Yule kiumbe hakunaga aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…