Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Prado letu la mabati 🀣🀣

Tuende kule niliota ndotoni jana 😍 usimwambie lkn kama nilimuota 🀣

Team vicheko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒ
Mie mpole sana πŸ˜‚
 
Prado letu la mabati 🀣🀣

Tuende kule niliota ndotoni jana 😍 usimwambie lkn kama nilimuota 🀣

Team vicheko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒ
Mie mpole sana πŸ˜‚
Moja ya dogo langu korofi sanaπŸ˜„
 
mkwepu jr mtaalamu wa ku like,natambua uwepo wako japo hujawahi ku comment hapa JF hata siku moja,
adriz Bwana Utam Black Sniper Mlolongo Satoh Hirosh natambua uwepo wenu hapa JF,tupo pamoja.
Asee nashukuru Sana mkuu,tupo pamoja Sana. [emoji120]

Kama tumekoseana mahali au kutoleana mapovu ndani ya huu mwaka basi tusameheane maana kukwaruzana ni Jambo la kawaida Sana kwa sisi binadamu. Tuko pamoja Sana mkuu.

Ila Nini mzee baba;

Fanya mpango nami nije kubeba box au hata kuwatawaza na kuwaanika wazee nje juani huko mbele. Bongo kwa sisi ambao hatupo kwenye mfumo wa kulamba asali Mambo yanakuwa magumu vibaya mno.

Nikutakie maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Unique Flower unataka nini hasa kwangu sema na dunia ione...sitakuangusha ukiwa mkweli.
Sio hizo mention..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sina shida na wewe mkuu,huna baya.

Alafu si una lugha fulani ya kipwani,soft hivi!! Watoto lazima wakufurahie. Hongera Sana

Rose garden...
Pia siyo mtu wa mitoko, pengine sababu Ni uchumi au company niliyo nayo si watu wa mitoko.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Prado letu la mabati 🀣🀣

Tuende kule niliota ndotoni jana 😍 usimwambie lkn kama nilimuota 🀣

Team vicheko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒ
Mie mpole sana πŸ˜‚
Ndio naongea nae hapa, tena umenikumbusha ngoja nimwambie 🀣🀣🀣

Team vicheko for life 🀣🀣🀣
Stress for who which why

Hahaa mpole sijaona hapo
 
Mbao za mawe
Mshanajr
Bujibuji
Johnthebaptist
Erythrocytes
Mpwayungu village
Umughaka
Mzabzab
Sexless
Mk254
Kimsboy
Mungu awape baraka.
Michuano iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…