Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Nakupenda pia mdogo angu mkwe🥰
Me na kaka angu tunakupenda to the moon n back😘

Mbona la mabati🤣🤣
Tena ngoja nimwambie kaka etu atupeleke mtoko sijui wapi, em chagua kwanza

Sema upunguze ukorofi, kaka hapendi anahitaji utulivu😂
Prado letu la mabati 🤣🤣

Tuende kule niliota ndotoni jana 😍 usimwambie lkn kama nilimuota 🤣

Team vicheko 😂😂😂😂😂💃
Mie mpole sana 😂
 
Prado letu la mabati 🤣🤣

Tuende kule niliota ndotoni jana 😍 usimwambie lkn kama nilimuota 🤣

Team vicheko 😂😂😂😂😂💃
Mie mpole sana 😂
Moja ya dogo langu korofi sana😄
 
mkwepu jr mtaalamu wa ku like,natambua uwepo wako japo hujawahi ku comment hapa JF hata siku moja,
adriz Bwana Utam Black Sniper Mlolongo Satoh Hirosh natambua uwepo wenu hapa JF,tupo pamoja.
Asee nashukuru Sana mkuu,tupo pamoja Sana. [emoji120]

Kama tumekoseana mahali au kutoleana mapovu ndani ya huu mwaka basi tusameheane maana kukwaruzana ni Jambo la kawaida Sana kwa sisi binadamu. Tuko pamoja Sana mkuu.

Ila Nini mzee baba;

Fanya mpango nami nije kubeba box au hata kuwatawaza na kuwaanika wazee nje juani huko mbele. Bongo kwa sisi ambao hatupo kwenye mfumo wa kulamba asali Mambo yanakuwa magumu vibaya mno.

Nikutakie maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mimi napenda kumwambia mzabzab aoe mapema kabla jogoo halijaacha kuwika.

Equation x acha starehe imezeeka bhana nenda katulie na mama yoyo waache wakina Glenn wapambane Kwa Sasa bado miili Yao inaruhusu.

Napenda kumwambia Depal akiolewa asisahau kunialika Joannah nakupendaje💕🥰🥂 Kalpana, Antonnia[,/USER] [USER=618930]Kelsea[,/USER] [USER=671666]baby success, Lenie, Darleen, Darlin, bila kumsahau Lee
Merry Xmass and Happy New Year.
Ngalikihinja acha kusema ovyo wadada tunakerekwaga nyie na mzabzab .Mnamaneno makali.

Criston Cole unaongea English sana jaribu kuongea kiswahili hatukuelewi
Unique Flower unataka nini hasa kwangu sema na dunia ione...sitakuangusha ukiwa mkweli.
Sio hizo mention..😂😂
 
Mkuu sana Satoh Hirosh
Sina la kujivunia kuhusu hili.
Nimejikuta tu kuwa mimi ni rafiki mkubwa sana wa hii jinsia tokea utotoni.

Ninatengeneza marafiki kila niendako.
Katika maisha hilisi ndivyo ilivyo.
Kuna watu huwa wanahisi mimi ni mpenda chini lkn 97% si kweli ni pure urafiki usio wa kimahusiano.

Nikiwa hata church hukimbiliwa na vitoto vya kike wasiopungua 20 to 30 kila mmoja anatamani kunishika mkono nami nawapenda sana watoto wa kike kuanzia wadogo hadi wamama wazee.

Nimejaa huruma kwao tu bila sababu mkuu wangu.

Hapa jf kuna wasichana kadhaa waliwahi kunitusi pm[emoji23][emoji23][emoji23] kuwa why niko na ke wengi...bila kujua yanaishiaga hapa tu jukwaani.

Wengi wameanza kunielewa kuwa ndivyo nilivyo na hakuna kilichojificha.
Samahani kwa maelezo marefu

Hii hali iliwahi kunikera mara nyingi lkn sasa naiona kawaida mkuu.

Kidimbwi mmh huwa sio mpenzi.
Nitakupeleka upepi garden kwa gharama zangu mkuu
Sina shida na wewe mkuu,huna baya.

Alafu si una lugha fulani ya kipwani,soft hivi!! Watoto lazima wakufurahie. Hongera Sana

Rose garden...
Pia siyo mtu wa mitoko, pengine sababu Ni uchumi au company niliyo nayo si watu wa mitoko.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Prado letu la mabati 🤣🤣

Tuende kule niliota ndotoni jana 😍 usimwambie lkn kama nilimuota 🤣

Team vicheko 😂😂😂😂😂💃
Mie mpole sana 😂
Ndio naongea nae hapa, tena umenikumbusha ngoja nimwambie 🤣🤣🤣

Team vicheko for life 🤣🤣🤣
Stress for who which why

Hahaa mpole sijaona hapo
 
Mbao za mawe
Mshanajr
Bujibuji
Johnthebaptist
Erythrocytes
Mpwayungu village
Umughaka
Mzabzab
Sexless
Mk254
Kimsboy
Mungu awape baraka.
Michuano iendelee.
 
Back
Top Bottom