Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mimi naomba kimwambia Bujibuji Simba Nyamaume kwamba asitumie pesa vibaya January inakuja na bi mwakatozo bado amekomaa hali haitobadilika maana tumeingia kwenye uchumi wa mikopo
Ushauri mzuri sana huu. Wacha niufanyie scanning, kisha niuwekee lamination niweke sebuleni, nikiingia tu ndani uwe unanisuta, kama nina laki basi nitoke na buku tu.
 
Thank you babegirl love you too!!
Mwaka ukwishe salama na uanze mwaka mpya vizuri kabisa kipenzi 😘
 
Shukrani sana bibie. Heri ikawe nasi, leo na siku zote.

Kesho yetu ni Bora sana, kuliko jana.

Bless up!
 
Amina, Mungu azidi kukubariki nakukupa afya njema ccy.
Uzidi kutufundishia watoto wetu na kuwaondolea ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…