Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

92 jerrie mkuu nakutakia heri ya mwaka mpya 2023

atlas copco 2023 ukawe mwaka wa heri sana mkuu. Usipokubali kuendeshwa na mapenzi,, mwaka utakuwa mzuri sana kwako
Hapo kwenye kukataa kuendeshwa na mapenzi ndo umefanya jambo la maana kukumbusha maana ukitibuliwa na mpenzi mwezi wa kwanza dah mwaka mzima ni nux tu
 
Ninawatakia heri na baraka wana chitchat wote.
Mungu awabariki sana na naomba niwataje wachache ambao tumekua tukitaniana hapa na pale;

1. Kamanda ERoni Ninakukubali sana bro.
Yapata miaka 6 sasa tukitaniana hapa na hapa hasa kale ka utani ketu ka hapa na pale juu ya wale viumbe😂

2. Nakadori DeepPond , mzabzab
sophy27 Clarra Antonnia
To yeye Kalpana Rumaiya Depal Lenie Tinsley cocastic goroko77 Evelyn Salt Unique Flower National Anthem na wengine
wengi...ninawatakia kila la heri mnapoumaliza mwaka
Thank you chalii angu🤗

Nafurahia uwepo wako humu... All the best to you too na Mungu atubariki tumalize mwaka salama.
 
Ninawatakia heri na baraka wana chitchat wote.
Mungu awabariki sana na naomba niwataje wachache ambao tumekua tukitaniana hapa na pale;

1. Kamanda ERoni Ninakukubali sana bro.
Yapata miaka 6 sasa tukitaniana hapa na hapa hasa kale ka utani ketu ka hapa na pale juu ya wale viumbe😂

2. Nakadori DeepPond , mzabzab
sophy27 Clarra Antonnia
To yeye Kalpana Rumaiya Depal Lenie Tinsley cocastic goroko77 Evelyn Salt Unique Flower National Anthem na wengine
wengi...ninawatakia kila la heri mnapoumaliza mwaka
DeepPond hapa jibu
 
DeepPond
 
Mbula!!page ya 420 sijatajwa hata na mmoja??????ngoja nikaogee maji ya magadi[emoji849]
 
Back
Top Bottom