Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

Kabisa kabisa Rafiki....
Barikiwa sana...
Pia nawe huwa unanibariki huduma ile ya ukarimu uliyopewa na Mungu.

Huwa hujali kujitaabisha kwa ajili yangu bila kutegemea chochote.
Naikumbuka sana ile taabu yako.
Naomba isiwe bure Mungu akaubariki uzao wako.
Utabaki kuwa dada bora kabisa kwangu
 
Oooooooh!!!
Aki nitalia[emoji22]
Ahsante G....Wacha tu niishie hapa...

Happy Holidays.
 
😅😅😅 Shukrani mkuu, that's the secret.

Peleka Salam zangu kwa kes

Shukrani mkuu. That's the secret.

Fikisha Salam kwa Kasie , kila akionaga ID yangu, huwa anakukumbuka wewe

Looh salamu nene hizi....
Wacha nikuje PM tunong'onezane.
 
Back
Top Bottom