Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Pia nawe huwa unanibariki huduma ile ya ukarimu uliyopewa na Mungu.Kabisa kabisa Rafiki....
Barikiwa sana...
Huwa hujali kujitaabisha kwa ajili yangu bila kutegemea chochote.
Naikumbuka sana ile taabu yako.
Naomba isiwe bure Mungu akaubariki uzao wako.
Utabaki kuwa dada bora kabisa kwangu