Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mi na dada yangu wote tunatumia JF na tupo nyumba moja. Kuna sometimes anadanganyaga kwenye comment yupo holiday Zanzibar, wakati yupo jikoni anakanda chapati za Asubuhi.

Sema maisha yanaenda. Na yeye kuna siri ananitunzia.

Kazini watu kibao nishazijua ID zao. Wanavyo comment na wao hauwezi wadhania. Sema ndio ivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…