Nakushauri utumie akili sana kwenye kuchangia mada zako,,badilisha mambo yote muhimu,kama location,kabila,kampuni yaani unatakiwa kuwa sio wewe kabisa....yaani mtu akisona aseme duh hata jamaa yangu flan alipitia hii kumbe jamaa yake flan ndio wewe😂Watu wengi tunaamini jf ndio mtandao wenye faragha zaidi Tanzania. Na Mimi binafsi nimeipenda jf kwa sababu hiyo so kitendo Cha mtu kuniulizia kuhusu kutumia jf naona kama ni mwanzo wa kuanza kuingilia faragha yangu na kunichinguza hivyo sipendi.
Wengi tu washawahi kuniuliza kuhusu kuijua Jf lkn nikakana kuijua Wala kuwahi kuijua(lkn mm haipiti siku bila kuingia Jf).
Kuna mambo tunayafanya huko mitaani ukija kuchangia humu ndani kama mtu anakuihisi au anajua unatumia huu mtandao ni rahisi sana kuunganisha dot na kukujua wazi kbs mpaka na ID Yako, hapo ndo balaa litapoanzia.
Ukileta mada hapa au kuchangia kitu humu unakikuta mtaani, au ukifanya kitu huko mtaani unakikuta humu jukwaani😂
Basi unazungukwa na watu wasio wa caliba yako.Nimeishi mikoa na majiji mbalimbali
🤣🤣🤣Mrefu,ana kitambi,anafaa mibwanga na muda wote amechomekea
Labda walihofia utawaharishia maana nyie mliopoteza vizibo breki zenu pampasi au maternity ped[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hata walikwamaa wapiii, ilibidi wanipigiee mtungo wa kushatooo. Hawakujiongezaa tatizooo.
Hivi ujue naweza kuwa mshua wako Joannah, sema sidhani kama mwamba anaingia huku kwa wala mbususu kimasihara au kule kwa warembo na shape zao.Mimi,mdogo wangu wa kiume na mshua najua wote ni wadau wa JF ila hakuna anaeijua ID ya mwenzie 🤣🤣🤣
Niligundua Hilo Kuna siku tulikuwa na dogo tunaongelea mada ya Mshana Jr ya hatma za picha sijui kwenye ulimwengu wa roho, nikashangaa mshua anachekaa anasema jamaa yule anapenda sana mambo ya ulozi🤣🤣🤣🤣nikasemaaa mmmh huyu asije akawa ID yake ndio ERoni
🤣🤣🤣Huwezi kuwa mshua wangu wewe,labda yule kaka yangu aliyeniachia nyonyo.....Mzee alinivuruga😂😂😂😂Hivi ujue naweza kuwa mshua wako Joannah, sema sidhani kama mwamba anaingia huku kwa wala mbususu kimasihara au kule kwa warembo na shape zao.
Kabisa kabisa, mie huwa nashangaa watu wanaleta humu visa vyao alafu wanajiweka wazi kiasi kwamba akipita humu mtu wanae fahamiana anajua Kila kitu.Nakushauri utumie akili sana kwenye kuchangia mada zako,,badilisha mambo yote muhimu,kama location,kabila,kampuni yaani unatakiwa kuwa sio wewe kabisa....yaani mtu akisona aseme duh hata jamaa yangu flan alipitia hii kumbe jamaa yake flan ndio wewe😂
We mlongo jidanganye tu. Wale wanachuo wengine hapo kwenye 'KIDULI' wanajua na wanakujua fika wallah..!!Hakuna anayejua km natumia JF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe huyu cocastic ni wa ivoLabda walihofia utawaharishia maana nyie mliopoteza vizibo breki zenu pampasi au maternity ped
Jichanganyekumbe bomba pisi mwenye thigh gap yake[emoji23]
Wana ID zingine wanafanyia vuruguBasi huku unafanyaga mambo ya ajabu ambayo yanatishia amani..
Kama ukiwa wa kawaida tuu basi ni ngumu sana kuhusishwa.
Kuna watu humu tangu waanze miaka hiyo mpaka leo ID zao zile zile tuu [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Aisee na mimi nfanye spinning tu kama humu ushasema unafanya kaz gani unaishi wapi unashabikia team gani dini yako na kabilaNakushauri utumie akili sana kwenye kuchangia mada zako,,badilisha mambo yote muhimu,kama location,kabila,kampuni yaani unatakiwa kuwa sio wewe kabisa....yaani mtu akisona aseme duh hata jamaa yangu flan alipitia hii kumbe jamaa yake flan ndio wewe😂
DP World iliandikwa na The Bold humu ila huko nje kuna watu ndo wanaisikiaHata mimi nipo huru..
Kuna baadhi ya mijadala humu nafatilia.
Napokua namuelekeza mtu yaani anaona me ni mfatiliaji sana kumbe code zote nachukua huku [emoji851][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na uzuri wa humu watu wanajua mambo na wanayachambua vilivyo
Kuna vitu ni universal,kuwa mkristo halafu ni shabiki wa Simba hiyo haikutambulishi😅Aisee na mimi nfanye spinning tu kama humu ushasema unafanya kaz gani unaishi wapi unashabikia team gani dini yako na kabila
Hii profile si 90%
Zikiunganishwa inakuaje?[emoji28]unakuwa notified?ziliunganishwa mkuu
Plus kaziKuna vitu ni universal,kuwa mkristo halafu ni shabiki wa Simba hiyo haikutambulishi😅
Ndio maana nakushauri usitoe wapi unafanya kazi!kama upo kikazi kwenye kampuni ya Voda unaweza sema unafanya kazi Zantel,unaishi buza,unasema huku kimara ninapoishi,unakuwa huelewekiPlus kazi
Maeneo unaishi
Kabila
Hauoni kama mtu anaweza kujua
Mimi workmates wangu wengi wapo pia humu