Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mimi,mdogo wangu wa kiume na mshua najua wote ni wadau wa JF ila hakuna anaeijua ID ya mwenzie 🤣🤣🤣
Niligundua Hilo Kuna siku tulikuwa na dogo tunaongelea mada ya Mshana Jr ya hatma za picha sijui kwenye ulimwengu wa roho, nikashangaa mshua anachekaa anasema jamaa yule anapenda sana mambo ya ulozi🤣🤣🤣🤣nikasemaaa mmmh huyu asije akawa ID yake ndio ERoni