Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mwaka wa 9, Sijawahi kumuona mtu mwingine akitumia JamiiForums

Mimi,mdogo wangu wa kiume na mshua najua wote ni wadau wa JF ila hakuna anaeijua ID ya mwenzie 🤣🤣🤣
Niligundua Hilo Kuna siku tulikuwa na dogo tunaongelea mada ya Mshana Jr ya hatma za picha sijui kwenye ulimwengu wa roho, nikashangaa mshua anachekaa anasema jamaa yule anapenda sana mambo ya ulozi🤣🤣🤣🤣nikasemaaa mmmh huyu asije akawa ID yake ndio ERoni
 
Watu wengi tunaamini jf ndio mtandao wenye faragha zaidi Tanzania. Na Mimi binafsi nimeipenda jf kwa sababu hiyo so kitendo Cha mtu kuniulizia kuhusu kutumia jf naona kama ni mwanzo wa kuanza kuingilia faragha yangu na kunichinguza hivyo sipendi.

Wengi tu washawahi kuniuliza kuhusu kuijua Jf lkn nikakana kuijua Wala kuwahi kuijua(lkn mm haipiti siku bila kuingia Jf).

Kuna mambo tunayafanya huko mitaani ukija kuchangia humu ndani kama mtu anakuihisi au anajua unatumia huu mtandao ni rahisi sana kuunganisha dot na kukujua wazi kbs mpaka na ID Yako, hapo ndo balaa litapoanzia.

Ukileta mada hapa au kuchangia kitu humu unakikuta mtaani, au ukifanya kitu huko mtaani unakikuta humu jukwaani😂
Nakushauri utumie akili sana kwenye kuchangia mada zako,,badilisha mambo yote muhimu,kama location,kabila,kampuni yaani unatakiwa kuwa sio wewe kabisa....yaani mtu akisona aseme duh hata jamaa yangu flan alipitia hii kumbe jamaa yake flan ndio wewe😂
 
Mimi,mdogo wangu wa kiume na mshua najua wote ni wadau wa JF ila hakuna anaeijua ID ya mwenzie 🤣🤣🤣
Niligundua Hilo Kuna siku tulikuwa na dogo tunaongelea mada ya Mshana Jr ya hatma za picha sijui kwenye ulimwengu wa roho, nikashangaa mshua anachekaa anasema jamaa yule anapenda sana mambo ya ulozi🤣🤣🤣🤣nikasemaaa mmmh huyu asije akawa ID yake ndio ERoni
Hivi ujue naweza kuwa mshua wako Joannah, sema sidhani kama mwamba anaingia huku kwa wala mbususu kimasihara au kule kwa warembo na shape zao.
 
Hivi ujue naweza kuwa mshua wako Joannah, sema sidhani kama mwamba anaingia huku kwa wala mbususu kimasihara au kule kwa warembo na shape zao.
🤣🤣🤣Huwezi kuwa mshua wangu wewe,labda yule kaka yangu aliyeniachia nyonyo.....Mzee alinivuruga😂😂😂😂
Nikasema aiseee huko PM sio kwa kuongeaongea na watu!
Kwenye macho ya nje ni Mzee wa busara kabisaa nikashangaa huyu kajuaje tena Haya mambo
 
Nakushauri utumie akili sana kwenye kuchangia mada zako,,badilisha mambo yote muhimu,kama location,kabila,kampuni yaani unatakiwa kuwa sio wewe kabisa....yaani mtu akisona aseme duh hata jamaa yangu flan alipitia hii kumbe jamaa yake flan ndio wewe😂
Kabisa kabisa, mie huwa nashangaa watu wanaleta humu visa vyao alafu wanajiweka wazi kiasi kwamba akipita humu mtu wanae fahamiana anajua Kila kitu.
 
Basi huku unafanyaga mambo ya ajabu ambayo yanatishia amani..

Kama ukiwa wa kawaida tuu basi ni ngumu sana kuhusishwa.

Kuna watu humu tangu waanze miaka hiyo mpaka leo ID zao zile zile tuu [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Wana ID zingine wanafanyia vurugu
 
Nakushauri utumie akili sana kwenye kuchangia mada zako,,badilisha mambo yote muhimu,kama location,kabila,kampuni yaani unatakiwa kuwa sio wewe kabisa....yaani mtu akisona aseme duh hata jamaa yangu flan alipitia hii kumbe jamaa yake flan ndio wewe😂
Aisee na mimi nfanye spinning tu kama humu ushasema unafanya kaz gani unaishi wapi unashabikia team gani dini yako na kabila
Hii profile si 90%
 
Inawezekana mtu akakubaini, siku moja niliandika uzi mreefu jamaa akaja akakomenti kwa ufupi tu kitu ambacho anayekijua lazima ni mtu wa karibu.

Na mimi katika watu wote wa karibu nilimshtukia mmoja na sijamwambia.

So tumeshtukiana jf ila huku nje kama hamna kilichotokea[emoji28]
 
Hata mimi nipo huru..
Kuna baadhi ya mijadala humu nafatilia.
Napokua namuelekeza mtu yaani anaona me ni mfatiliaji sana kumbe code zote nachukua huku [emoji851][emoji851][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na uzuri wa humu watu wanajua mambo na wanayachambua vilivyo
DP World iliandikwa na The Bold humu ila huko nje kuna watu ndo wanaisikia
 
Plus kazi
Maeneo unaishi
Kabila
Hauoni kama mtu anaweza kujua
Mimi workmates wangu wengi wapo pia humu
Ndio maana nakushauri usitoe wapi unafanya kazi!kama upo kikazi kwenye kampuni ya Voda unaweza sema unafanya kazi Zantel,unaishi buza,unasema huku kimara ninapoishi,unakuwa hueleweki
 
Back
Top Bottom